Naombeni ushauri kuhusu MODEM gani nzuri ninunue?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Nimeona niombe ushauri kabla ya kununua,naomba unifahamishe kuhusu modem nzuri kwa sasa. Nimeona tangazo la airtel modem humu jf ila sijafahamu kama ni nzuri. Pia nilikuta mahali modem za Safaricom ambazo zimeshaflashiwa na mtu anaweza kutumia line yoyote,zinauzwa 50,000/=. Je,ni modem gani nzuri?
 
Hakuna nzuri kivile i5a pia inategemea na sehemu uliyopo,ila ningekushauri ununue Airtel
 
Jombaa hacha kumpotosha mwenzio!!
Anatakiwa achukue voda then arudi hapa tumsaidie kuchakachua ili aweze kutumia mtandao wowote apendao siyo hiyo Airtel yako hambayo haichakachuki kirahisi so wakikologa huko modem unaitumbukiza sandukuni coz hutokuwa na namna.
kwanza voda hizi mupya za E 173 na Airtel E 173 is the same kwa kila kitu tofauti ni kwamba airtel ziko customized firmware.
 
Yap kaka hata mimi nilimaanisha hivi
 
Vizuri tujuwe
1. Wapi upo?
2. Matumizi yako?
3. Uwezo wako?
4. Jee unahitaji uimara na umadhubuti?
6. Unahitaji internet ya kasi au kawaida?
Baada hapo ndo tutajuwa jinsi gani yakukusaidia. Nb: Modem takriban zote hizi za 3g can be unlocked permanently but inabidi ulipie kidogo.
 
Ubepariii! Wotee wanavutia katika matangazo, eti, BURE MIEZ 3, kumbe URONGO! Ndugu, jichaguliage unapoweza KUNYONYWA ukafurahii! Basi! Wote mamoja inategemea matangazo yao YAMEKUVUTIA vipi!
 
Kamatia safaricom au etsalat! Safi sana izi kitu
 
sasa ivi sijajua modem nzuri lakini, nunua ambayo inaweza kuchakachulika ili upate benefit ya mitandao yote ofa zinapotokea
 
Dah we unajua zantel ni branch la nini?

ZANTEL part of etisalat! yani kama safaricom ni best pia haina haja ya kuflash sjui ndo utupie laini zote au nini! yenyewe iko kamili idara zote, kila ukiama maeneo unaskilizia upepo tu mtandao gani unajituma zaidi, basi unatupia bundle
 
Kaka modem si mtandao modem ni aina.
Mfano huawei e173 hii ni modem moja world class na ipo airtel, voda na safaricom kenya.

Ukinunua e173 ya kenya na e173 ya tanzania ni sawa kila kitu. tunachotaja sisi nunua ya voda ni sababu za kichakachuaji zaidi ili uspate shida ya kutumia line moja tu.

Sjui hiyo etisalat ila safaricom kenya e173 ni customized software kama ya airtel bongo so still voda rulles
 
mkuu! nakupata sana, na nakuelewa, ila hawa safaricom wao unatumia ka laini kamoja tu hii e173 yao, mimi natumia airtel, nin jamaa yangu hapa ana e160 ya safaricom na inatumia laini zote na iko vizuri tu, sasa sijajua hao wa e173
 
Nenda kanunue huawei E303 iwe ya voda au airtel halafu nijulishe nikuchakachulie. Hizi zina uwezo wa 7.2Mbps sawa kaka
 
mkuu! nakupata sana, na nakuelewa, ila hawa safaricom wao unatumia ka laini kamoja tu hii e173 yao, mimi natumia airtel, nin jamaa yangu hapa ana e160 ya safaricom na inatumia laini zote na iko vizuri tu, sasa sijajua hao wa e173

Ila e160 speed ni 3.6mbps haitazidi 450KBps wakati e173 ni 7.2mbps speed hadi 900KBps

Then e173 ipo simple haipat moto haraka me nimeitest 4 days internet bila kupumzika inadownload na ina survive
 
Back
Top Bottom