MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,159
- 12,720
- Thread starter
- #81
Binafsi sio mtu wa kutegemea watu kaka mana nmetoka mbali sana kuna muda huwa nikimeditate kufikiria nilpotoka huwa nataman kulia, ni vile tu siwezi.I wish ningekuwa na uwezo wa kutoa msaada wa fedha, ila hata ushauri wangu pengine unaweza kufaa.
Mi nadhan kama uliweza kujisomesha wewe hadi ukamaliza, basi uko na skills na experince kubwa sana ya kutafuta pesa. Nakushauri uachane na shule.
kama uko na skills za kutengeneza pesa, unafanya biashara, umesoma unaupeo unataka kwenda Law school kufanya nini?!
Nakushauri pambania biashara yako, somesha mdogo wako. Focus na mambo mawili tuu kwasasa. Biashara na elimu ya dogo. Achana na law school, itakutoa kwenye main stream.
Kingine usiwe na mategemeo ya ufadhili... kama unataka kumtafutia ufadhili mtafutie ila usiupe kipaumbele cha masoma ya mdogo wako. People will let tou down, utajikuta unapoteza muda tu.
Jukumu la dogo limekuja ghafla sana maana tulishakubaliana na bi mkubwa kuwa atampeleka dogo chuo so ilo suala nilkua nimeshalisahau.
Law school nilkua naipambania ili nijiajiri sababu ukiwa Wakili unapiga sana hela japo mpaka uwe makini na una connection ambayo tayari binafsi nishaitengeneza.
Sasa juzi kuna Boss mmoja nilkutana nae kwenye kiwanja kimoja Pale Warehouse akaahidi kuniajiri kwenye kampuni yake anytime hata sasa nikitaka niende ofisini tuongee ila kwa sharti moja kuwa ntaenda law school kutafuta muhuri [ alinipa namba mpaka sasa sijamtafuta ]
Naomba ushauri wako kwenye hili ili nijue nachanga vp karata zangu mana staki nikianza kumsomesha dogo ifikie katkat akwame kisa mimi nimeyumba kiuchumi[emoji120]