Vizuri pia mfunze dogo asimkwaze mamaBi mkubwa nimeongea nae juzi tu tena nilkuta 5 missed calls zake nikampigia tukasalimiana na nikamkumbushia kuhusu suala la mdogo wangu kwenda chuo akasema haina shida kabisa sasa leo yan sjui ata imekuaje na sielewi.
Napanga nikitoka Kwenye mishe zangu nimpigie nimsikilize anasemaje tena.
Haina shida yoyote kuna bwa mdogo wangu aliomba 2018 akapata hakwenda. Akaomba 2021, akakubaliwa, akajiunga.Nakubaliana nawewe mkuu japo nilishaomba Law School nikapangiwa Intake ya July na hela tayari ipo ila bado naifanyia mizunguko kwenye biashara.
Itabidi nifuatilie kama kuna consequences zozote za mimi kutoripoti Law School Mwaka huu ili nijue nafanyeje mana apa nina stress ata uwezo wa kufikiri umepungua
Mungu atafanya njia pasipo na njia. Ila ukiwa huna pesa unaweza ukammaindi mtu kwa ajili ya mwandiko wake.Kwa upande wa mama yangu tumezaliwa wawili tu yaani mimi na huyu mdogo wangu ila mama na mzee walishatangulia mbele za haki [mama kafariki nikiwa na miaka mi3 na mzee nikiwa na miaka 13 ]
huyu mdogo wangu Yeye yupo nyumbani anakaa na mama mkubwa ( step mother )
Sasa mimi ni Juzi tu nimemaliza chuo kwa mbinde sana mana nmejitegemea kila kitu miaka yote mitatu mpaka namaliza, sikuwa na wakumwelekezea shida zangu zozote ingawa kwa upande wa Baba tupo watoto 16 na sisi ndio wa mwisho na hawa ndugu zetu wote kila mtu ni mambo safi kweli ( kweli kutoa ni moyo 🥲)
Sasa huyu mdogo wangu kanitumia Hii meseji nimepatwa na stress sana wakati ni Juzi tu nmeongea na huyu mama mkubwa wangu tukakubaliana kuwa atampeleka mdogo wangu chuo ila ntakua nampa back up kwa vitu vidogo vidogo kama matumizi ya apa na pale.
Mimi saiv ndo nmeanza biashara bado hata sijafikia ile level ambayo nimejiwekea malengo nifikie lakini nakumbana na majukumu mazito kama haya.
Binafsi apa nilkua napambana nipate hela niingie Law school mwezi July lakini izo dalili naona kabisa zikififia🥲
Kinachoniuma ni mdogo wangu af ni mtoto wa kike na tumezaliwa wawili tu, Naombeni ushauri nifanye nini ili nijue namjibu vp huyu mdogo wangu in a positive way
View attachment 2469632
Mimi leo nimeamkia Hospitali mana Tangu Tarehe 2 najiskia hovyo nilzani ni hangover za pombe za sikukuu kumbe nilkua na Malaria.
Mimi mwandiko wako ndo utaniongoza nikujibu au nisikujibu.
Sipendi miandiko ya kitoto
Hata mbuzi na kenge yanawapata sema hatujuiSubira yavuta kheri
Hakuna barabara iliyonyooka
Ili ufanikiwe lazima upitie milima , kona na Mabonde. Lakini kufika ni lazima hata kama kuna kuchelewa ndani
Lakini ujue haya mambo huwa hayamkuti mbuzi wala kenge ni Binadamu kama mimi na wewe.
Enewei
Hata mimi sipendezwi na mtu anayetumia X badala ya S au C badala ya S naudhika kuliko maudhi yenyewe
Asante kwa ushauri mkuu ila kuhusu hii biashara nayofanya mdogo wangu haiwezi maana foundation yake nimeijenga kwa kunizunguka mimi [hope unanielewa]Ndio inabidi umfundishe hiyo biashara ili ukienda kusoma aiendeleze kisha ukishamaliza law school unakuja kumpokea kijiti na yeye anakwenda chuo.
Forget about Step mother,forget about step brothers wewe ni mtu mzima sasa yaani chukulia ndio umeshaanza majukumu hivyo wewe ndio kaka,wewe ndio baba,wewe ndio mjomba kwa huyo mdogo wako.
Hiyo changamoto yako ni ndogo sana maana huyo mdogo wako naye ni mtu mzima anafundishika kirahisi.
Mimi nilianza kusomesha wadogo zangu kuanzia primary level wakamaliza,sekondary baadhi wakamaliza na kuna mmoja bado anaendelea na sekondary,wengine walimaliza kwenda chuo na wengine wanahitaji kwenda chuo sasa hivi ila ninachoshukuru Mungu likitokea jambo la dharura au shughuli yeyote wananisaidia mawazo na usimamizi kwenye utekelezaji mimi natoa mchango wa kipesa.
So nina uzoefu mkubwa wa hili jambo ninalokushauri.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
If he could, he would have have helped himGod can help you......
Mungu atafanya njia pasipo na njia. Ila ukiwa huna pesa unaweza ukammaindi mtu kwa ajili ya mwandiko wake.

Ataenda VIP jamaa Hana pesa msapoti hata laki mbiliDuuh mpe polee huyo Debora, ila plz fanyaa aende chuo tafadhari.
Poleeeh sanaa, hope kila kitu kitakua sawaaa.
sio makasiriko anajaribu kumshape mdogo wake na ndo inavyotakiwaMbona kama una makasiriko nae hivi sasa ww herufi zinakuuzi ninWatanzania bana
Hujasema hicho chuo ni level gani, certificate ,diploma ama degree?Kwa upande wa mama yangu tumezaliwa wawili tu yaani mimi na huyu mdogo wangu ila mama na mzee walishatangulia mbele za haki [mama kafariki nikiwa na miaka mi3 na mzee nikiwa na miaka 13 ]
huyu mdogo wangu Yeye yupo nyumbani anakaa na mama mkubwa ( step mother )
Sasa mimi ni Juzi tu nimemaliza chuo kwa mbinde sana mana nmejitegemea kila kitu miaka yote mitatu mpaka namaliza, sikuwa na wakumwelekezea shida zangu zozote ingawa kwa upande wa Baba tupo watoto 16 na sisi ndio wa mwisho na hawa ndugu zetu wote kila mtu ni mambo safi kweli ( kweli kutoa ni moyo 🥲)
Sasa huyu mdogo wangu kanitumia Hii meseji nimepatwa na stress sana wakati ni Juzi tu nmeongea na huyu mama mkubwa wangu tukakubaliana kuwa atampeleka mdogo wangu chuo ila ntakua nampa back up kwa vitu vidogo vidogo kama matumizi ya apa na pale.
Mimi saiv ndo nmeanza biashara bado hata sijafikia ile level ambayo nimejiwekea malengo nifikie lakini nakumbana na majukumu mazito kama haya.
Binafsi apa nilkua napambana nipate hela niingie Law school mwezi July lakini izo dalili naona kabisa zikififia🥲
Kinachoniuma ni mdogo wangu af ni mtoto wa kike na tumezaliwa wawili tu, Naombeni ushauri nifanye nini ili nijue namjibu vp huyu mdogo wangu in a positive way
View attachment 2469632
Mungu huwa hashughuliki na wajinga.. Mtu yoyote mwenye tabia ya kutofanya mambo madogo kwa ukamilifu hata kwa makubwa ni vile vile..God can help you......
Mkuu sijaja kuomba pesa huku tafadhali, ushauri tu unanitoshaAtaenda VIP jamaa Hana pesa msapoti hata laki mbili
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kamfundisha vyema,na si makasiriko mkuuMbona kama una makasiriko nae hivi sasa ww herufi zinakuuzi nin😂Watanzania bana
Mimi sina ufahamu na mambo ya afya mkuu ila anataka akasomee nursing from the scratch mana ndo kazi anayoipendaHujasema hicho chuo ni level gani, certificate ,diploma ama degree?
Hujasema pia chuo gani anataka kwenda kusomea hyo Nursing ili upewe muongozo nk