Naombeni ushauri kaka na dada zangu

Olewa wewe instead.
 
Leo unamuona mrembo sana, lakini nakuhakikishia baada ya miaka mitano kupita utajiona kama unalingana na mwanae, utakua unamuona kama amezeeka.
By the way, ulitakiwa utandikwe viboko ili akili ikukae sawa maana naona umesha sahau tulikutuma shuleni ukasome na sio ukat@mb€
Penzi kitovu cha uzembe.
 
......she is completely wife material....mwache aendee (kwa moyo mweupee kabsaaa), hizo screen short ni trailer movie bado hujaiona kwenye chart anazofanya na nyaume wengineee.
 
Bwana mdogo embu piga kitabu huyo mrembo muache aolewe utakuja kupasha kiporo siku ukipata vihela kidogo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…