Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,781
- 15,566
Yaani atapigwa cha ghafla huyu atachanganyikiwa, amuache huyo mwanamke mapema sana.
... ndio ile unasikia "wee demu wako anaolewa huko, nimeona picha instagram
".Yaani atapigwa cha ghafla huyu atachanganyikiwa, amuache huyo mwanamke mapema sana.
".
Lengo la yeye kukutumia hizo screenshots hasa ni nini? Ukilifahamu lengo lake vizuri hautakuwa na wasiwasi katika kutoa maamuzi juu ya uhusiano wenunataman kumwambia akubali hao wanao mchumbia lakini sijui atapokea vipi
Kama yeye wa 2001 bila shaka ķuna mijitu humu imekaa inakajadili hako kabinti ka 2005 shida hizi.....Nimeishia hapa kwenye 2001, utoto raha sana
Amesema binti kamzidi miaka miwiliKama yeye wa 2001 bila shaka ķuna mijitu humu imekaa inakajadili hako kabinti ka 2005 shida hizi.....
Ila vijana wa sasa hivi sijui huko shule mnasomea nini, yaani kila kitu ni ushauri tu, hata vingine vya kuamua mwenyewe, mapenzi siyo uwezo au pesa, kwanza ni upendo mengine yanafywata.Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu.
Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lkan yeye Tayari hivi sasa kamaliza masomo na yupo nyumbani (amesoma Diploma ya clinical medicine).
Lengo la mahusiano yetu ni badae tuanzishe familia kwa pamoja ( kufunga ndoa)
Umri wake ni Mkubwa kwangu ananizidi miaka miwili Mimi ni wa 2001
Ni zaidi ya mara manne sasa huyu binti ana nambia kuna wanaume ambao wana mu approach kwa ajiri ya kumuoa, hata rafiki zake wa kike mara nyingi huniambia kuwa huyu binti ana windwa na wanaume wengi tena ambao wapo seriously na wenye maisha yao.
Ofcourse hata mimi naweza ku confirm hicho kitu mana she is beautiful pia ana akili na ufahamu mzurui, she is completely wife material.
Jana usiku amenitumia screenshot za chating za jamaa ambae ni engineer jamaa ana mwambia kabisa anataka kumuoa mwakani na yupo seriously.
Ugumu unakuja apa mm bado nipo chuo tena maisha yangu ni kawaida sana, na nyumbani kwetu Hali si nzuri hata kidogo,kiufupi bado na safari ndefu sana ya kujitafuta kimaisha.
Naona kabisa huyu binti tamchelesha kwenye maisha anayotaka, na yeye anajua hali yangu hiyo, nataman kumwambia akubali hao wanao mchumbia lakini sijui atapokea vipi, mana tunapendana , na mimi napo tazama safari ya maisha yangu bado naona ukungu na giza Kubwa sana.
Sitaki kumzibia riziki huyu binti, najua ana nipenda na mimi pia na mpenda sana.
Hapa nipo njia panda, sijui nifanye maamuzi gani kwa manufaa ya Kila
Siku soma dah ila huyu kaka eti Joanah tumekua tunachat na wanetu JfAmesema binti kamzidi miaka miwili
Kwa hiyo bidada kazaliwa 1999 hivi
Kama hajakuelewa wewe hatomuelewa mtu mwengine yeyoteMiaka 22 mwaka wa pili unang'ang'ana na binti aliyemaliza chuo?
Hata kama mngekuwa mmemaliza wote, bado ungekuacha na aolewe na mtu mwenye maisha.
Wewe zingatia masomo huyo siyo size yako.
Huyo Injinia atakuwa kazaliwa miaka ya 80 au tisini, yaani watu hawa wana maisha tayari na tunapendwa haswa.
Sasa wewe mwanangu wa 2001, subiri wasichana wwaliozaliwa 2010 ambao sasa hivi wana miaka 13, ambapo 2033 watakuwa na 23 years na wewe ukiwa na 32 na miasha juu.
Kupanga ni kuchagua. Mwanaume anapanda chati kadiri umri unavyokwenda.

NakaziaKuna umuhimu sasa wa kutengeneza jukwaa la watoto hii fedheha sasa
Na kama hajawahi kupiga apige kwanza kisha ndo amwambie hivyo, asiache aende hivi hivi.Kama uliwahi kupiga, mwambie ukweli wewe huna maisha bado una jitafuta sana. Kama ana kupenda kweli akuvumilie, kama hawezi kukuvumilia aolewe tu wewe huna neno. Japo una mpenda kweli ila kuendelea kubaki nae na yeye kuna mijitu yenye maisha yao ina mfuata una ona ni kumzibia ridhiki basi aolewe tu.
Huyu dogo azime acount yake arudi baada ya miaka mitanoNakazia
Wa 2001 anaweza akapiga?Na kama hajawahi kupiga apige kwanza kisha ndo amwambie hivyo, asiache aende hivi hivi.
Umemaliza mkuuMiaka 22 mwaka wa pili unang'ang'ana na binti aliyemaliza chuo?
Hata kama mngekuwa mmemaliza wote, bado ungekuacha na aolewe na mtu mwenye maisha.
Wewe zingatia masomo huyo siyo size yako.
Huyo Injinia atakuwa kazaliwa miaka ya 80 au tisini, yaani watu hawa wana maisha tayari na tunapendwa haswa.
Sasa wewe mwanangu wa 2001, subiri wasichana wwaliozaliwa 2010 ambao sasa hivi wana miaka 13, ambapo 2033 watakuwa na 23 years na wewe ukiwa na 32 na miasha juu.
Kupanga ni kuchagua. Mwanaume anapanda chati kadiri umri unavyokwenda.