Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,984
- 27,602
Behind the beauty lies the true colors.
Lucky Dube....it's not easy.
Kasikilize hii ngoma kwanza.
Lucky Dube....it's not easy.
Kasikilize hii ngoma kwanza.
. Hivi unajua mtaa ulivyo wa moto, acha huyo dada aolewe tu. Endelea kupambania course work kwanza, weekends tafuta kiwanja kizuri konga nyoyo na kina chino.Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..Kijana wa 2001 unahangaika na mapenzi aisee, tena kwa dem ambae kashamaliza chuo yuko mtaani. Hivi unajua mtaa ulivyo wa moto, acha huyo dada aolewe tu. Endelea kupambania course work kwanza, weekends tafuta kiwanja kizuri konga nyoyo na kina chino.
Safi sana dogo ana tope zitoKuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..
Msichana wa kwanza mimba miezi 8
Msichana wa pili mimba miezi 6
Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3..
Kuna madogo wako vzr
Ujinga ujinga tu huo kaka! Na hapo unapata picha jinsi gani vijana hawajali afya zao. Kuna siku atapigisha shoti huyo!Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..
Msichana wa kwanza mimba miezi 8
Msichana wa pili mimba miezi 6
Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3..
Kuna madogo wako vzr
dogo mwenyewe hata kazi hana yani hapa ndio naona wanawake akili hawana...Safi sana dogo ana tope zito




Anasema wanamshobokea wenyeweUjinga ujinga tu huo kaka! Na hapo unapata picha jinsi gani vijana hawajali afya zao. Kuna siku atapigisha shoti huyo!
Balehe inasumbua huyo mtoto!Anasema wanamshobokea wenyewe
Ukiona mwanaume hawez kumsitiri mtu wake...hapo ni hamna kituUmri wake ni mkubwa kwangu ananizidi miaka miwili Mimi ni wa 2001
Tafuta hela dogo achana na mapenzi yatakuharibia maisha yako tu.Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu.
Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lakini yeye tayari hivi sasa kamaliza masomo na yupo nyumbani (amesoma Diploma ya clinical medicine).
Lengo la mahusiano yetu ni badae tuanzishe familia kwa pamoja ( kufunga ndoa)
Umri wake ni mkubwa kwangu ananizidi miaka miwili Mimi ni wa 2001
Ni zaidi ya mara manne sasa huyu binti ananambia kuna wanaume ambao wanamu-approach kwa ajili ya kumuoa, hata rafiki zake wa kike mara nyingi huniambia kuwa huyu binti anawindwa na wanaume wengi tena ambao wapo seriously na wenye maisha yao.
Ofcourse hata mimi naweza ku confirm hicho kitu maana she is beautiful pia ana akili na ufahamu mzuri, she is completely wife material.
Jana usiku amenitumia screenshot za chats za jamaa ambaye ni engineer jamaa anamwambia kabisa anataka kumuoa mwakani na yupo seriously.
Ugumu unakuja hapa, mimi bado nipo chuo tena maisha yangu ni kawaida sana, na nyumbani kwetu hali si nzuri hata kidogo, kiufupi bado na safari ndefu sana ya kujitafuta kimaisha.
Naona kabisa huyu binti nitamchelesha kwenye maisha anayotaka, na yeye anajua hali yangu hiyo, natamani kumwambia akubali hao wanaomchumbia lakini sijui atapokea vipi, maana tunapendana , na mimi napotazama safari ya maisha yangu bado naona ukungu na giza kubwa sana.
Sitaki kumzibia riziki huyu binti, najua ananipenda na mimi pia na mpenda sana.
Hapa nipo njia panda, sijui nifanye maamuzi gani kwa manufaa ya Kila.
Nakaziahuna hela,22 y.o unawaza ndoa?....kichwa cha chini ndo kinakuendesha dogo sio akili zako timamu.....
Hivi ni kweli e?mimi na mapenzi wapi na wapi rafki yangu
Proudly chaputian sionyuzi zangu zote mbona nnimeanzishia humu,
mi chaputa halafu
#Okoa kibundasheria mkononi, amani moyoni