Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
We mzee weweee 😂😂😂Wa 2001 anaweza akapiga?

Hahahahaha si mtoto wa bloo huyoHahaha mkuu unaweza kuwa na mtoto wa 2001?
Olewa wewe instead.Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu.
Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lkan yeye Tayari hivi sasa kamaliza masomo na yupo nyumbani (amesoma Diploma ya clinical medicine).
Lengo la mahusiano yetu ni badae tuanzishe familia kwa pamoja ( kufunga ndoa)
Umri wake ni Mkubwa kwangu ananizidi miaka miwili Mimi ni wa 2001
Ni zaidi ya mara manne sasa huyu binti ana nambia kuna wanaume ambao wana mu approach kwa ajiri ya kumuoa, hata rafiki zake wa kike mara nyingi huniambia kuwa huyu binti ana windwa na wanaume wengi tena ambao wapo seriously na wenye maisha yao.
Ofcourse hata mimi naweza ku confirm hicho kitu mana she is beautiful pia ana akili na ufahamu mzurui, she is completely wife material.
Jana usiku amenitumia screenshot za chating za jamaa ambae ni engineer jamaa ana mwambia kabisa anataka kumuoa mwakani na yupo seriously.
Ugumu unakuja apa mm bado nipo chuo tena maisha yangu ni kawaida sana, na nyumbani kwetu Hali si nzuri hata kidogo,kiufupi bado na safari ndefu sana ya kujitafuta kimaisha.
Naona kabisa huyu binti tamchelesha kwenye maisha anayotaka, na yeye anajua hali yangu hiyo, nataman kumwambia akubali hao wanao mchumbia lakini sijui atapokea vipi, mana tunapendana , na mimi napo tazama safari ya maisha yangu bado naona ukungu na giza Kubwa sana.
Sitaki kumzibia riziki huyu binti, najua ana nipenda na mimi pia na mpenda sana.
Hapa nipo njia panda, sijui nifanye maamuzi gani kwa manufaa ya Kila
Bila shaka atazingatiaKama hajakuelewa wewe hatomuelewa mtu mwengine yeyote
Miaka 22 huyo, anapiga kabisaWa 2001 anaweza akapiga?
SawasawaUmemaliza mkuu
Nilikuwa hata sijui ziwa lipoje nilikuwa naliona kwenye mashati tuuMiaka 22 huyo, anapiga kabisa
Mimi at 18 tayar beki tatu wa home alikua akifurahia show yangu,Nilikuwa hata sijui ziwa lipoje nilikuwa naliona kwenye mashati tuu
Bwana mdogo embu piga kitabu huyo mrembo muache aolewe utakuja kupasha kiporo siku ukipata vihela kidogoWakuu nipeni ushauri mdogo wenu.
Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lkan yeye Tayari hivi sasa kamaliza masomo na yupo nyumbani (amesoma Diploma ya clinical medicine).
Lengo la mahusiano yetu ni badae tuanzishe familia kwa pamoja ( kufunga ndoa)
Umri wake ni Mkubwa kwangu ananizidi miaka miwili Mimi ni wa 2001
Ni zaidi ya mara manne sasa huyu binti ana nambia kuna wanaume ambao wana mu approach kwa ajiri ya kumuoa, hata rafiki zake wa kike mara nyingi huniambia kuwa huyu binti ana windwa na wanaume wengi tena ambao wapo seriously na wenye maisha yao.
Ofcourse hata mimi naweza ku confirm hicho kitu mana she is beautiful pia ana akili na ufahamu mzurui, she is completely wife material.
Jana usiku amenitumia screenshot za chating za jamaa ambae ni engineer jamaa ana mwambia kabisa anataka kumuoa mwakani na yupo seriously.
Ugumu unakuja apa mm bado nipo chuo tena maisha yangu ni kawaida sana, na nyumbani kwetu Hali si nzuri hata kidogo,kiufupi bado na safari ndefu sana ya kujitafuta kimaisha.
Naona kabisa huyu binti tamchelesha kwenye maisha anayotaka, na yeye anajua hali yangu hiyo, nataman kumwambia akubali hao wanao mchumbia lakini sijui atapokea vipi, mana tunapendana , na mimi napo tazama safari ya maisha yangu bado naona ukungu na giza Kubwa sana.
Sitaki kumzibia riziki huyu binti, najua ana nipenda na mimi pia na mpenda sana.
Hapa nipo njia panda, sijui nifanye maamuzi gani kwa manufaa ya Kila
LegendNa kama hajawahi kupiga apige kwanza kisha ndo amwambie hivyo, asiache aende hivi hivi.