Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,349 Reaction score 62,592 Aug 10, 2023 #81 Kila kitu huwa kina kuja kwa wakati wake
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,420 Reaction score 8,717 Aug 11, 2023 #82 Mruhusu tu aolewe.
Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,326 Reaction score 1,041 Aug 20, 2023 #83 Hata hivyo hakupaswa kukutumia hizo screenshot alipaswa amalizane na haohao kimya kimya . Kama anabaki na wewe akomae kama atakuacha aseme
Hata hivyo hakupaswa kukutumia hizo screenshot alipaswa amalizane na haohao kimya kimya . Kama anabaki na wewe akomae kama atakuacha aseme