Adrinus
New Member
- Jul 30, 2021
- 1
- 3
Nimesoma sheria, baada ya kumaliza nikarudi kijijini lakini sasa nikaona nachelewa kwenda shule ya sheria ya vitendo (law school), nimeamua kuja dar es salaam, nimefikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo.
Nilipo nimeanza kutembea kwenye ofisi za kisheria(law firm) kutafuta nafasi ya kazi lakini sijafanikiwa sehemu nyingine napewa ahadi kuwa nitapigiwa simu..na rafiki yangu sasa hivi ananiona kama mzigo...naombeni ushauri katika hili kwani nina ndoto:
a) Yakusoma law school niwe na leseni yakupractice sheria
b) Pia niwe msaada kwa familia yangu