Naombeni ushauri jamani

acha uselfish....watoto ni mzigo gan isitoshe ni wakubwa na wanakaa kwa mama zao..

Eti mkubwa, wakati unamkubali ulimwona kijana mwenziiiooo!!????

Lastly nipe nr ya huyo unayemwona babu....

Naona unataka kutumia fursa

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
wamama wanakaa nchi mbili tofauti na huyo baba anakaa nchi nyingine mfano iwe tanzania, marekani na canada...umbali wa nchi uko ivo

Ee hebu nitajie huyo anaetaka kukuoaa?????mbona nahisii kama.........
 
Mabinti wa siku izi mkoje? Uolewe ns mtu mzima hivyo nn shida? Afu ka ni mzungu ndio balaa saa
 
pole shost,
kwani hapo ulipo hamna wanaume wengine???isije tukakulaumu kumbe una ukame :smile-big:
mie sikushauri uolewe na huyo bwana bakini 'friends with benefits' lols baki kwako abaki kwake 'mkitaka' you know what peaneni tu, maisha mafupi haya ukimpata mtu mbeleni anayefit idara zote utakuwa huna la kujiuliza lols
 
Be my friend with benefits please
 
Achana naye huyo ana pepo la michepuko, ukiona mtu kafika age ya 40's hajaoa lakin kazaa zaa tu kama kambare ujue basi huyo hakuwa ametulia au ana matatizo binafsi, watu wa hivi tunao sana kitaa so tupa kule na tafuta wa kuendana nae wanaume wapo wengi tu.

Asante mpenzi
 
First mwambie mfunge ndoa..Usikubali njoo tukae...second mwambie kwako watoto wawili ni gumu sana...so you only promise to try your best..ukishindwa asikulaumu...you don't promise to be their perfect mom...

Thank you
 
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 yrs old na son 3yrs old alizaa na wanawake tofauti..hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja kutembea tu kwa baba once in a while which z normal..sisi we can start familia yetu...to make it clear sijakubali bado, naona ka umri tumepishana sana na two kids naona ni buggage I never expected to handle...kizunguzungu..sasa nawajua humu ndani nimeomba ushauri sio ndio muanze kunisema mnishauri vizuri tu

Stop .kama Ana miaka 43 kuna Sababu yupo single .Tafuta umri at least 35 years Huyo ana a lot of issues .Kuolewa sio Lazima .siku hizi kuolewa ni starehe sio kilio majuto.Wait
 
Stop .kama Ana miaka 43 kuna Sababu yupo single .Tafuta umri at least 35 years Huyo ana a lot of issues .Kuolewa sio Lazima .siku hizi kuolewa ni starehe sio kilio majuto.Wait

Thank you love
 
Uwe unasoma unaelewa basi kabla hujaanza kutoa cheche, nimesema kabisa hapo juu sijamkubali bado...sasa kama nimemkubali ushauri ningetaka wa nini?

hujamkubali? au hujakubali ndoa? maana hivyo ni vitu viwili tofauti.
kama hujamkubali na hajatembea na wewe halafu anatangaza ndoa, fahamu kwamba ndoa hapo haipo, unadanganywa. Siku hizi ni next to immpossible mwanaume kuoa mwanamke ambae bado hajatembea naye.
 
Sijatembea nae yes na wala sijakubali ndoa.asante kwa ushauri
 
Mabinti wa siku izi mkoje? Uolewe ns mtu mzima hivyo nn shida? Afu ka ni mzungu ndio balaa saa

mkuu ukiwa hauna hela hata ukimpita mwanamke miaka mitatu atakuita mzee, lakini ukiwa nazo...................
 
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 yrs old na son 3yrs old alizaa na wanawake tofauti..hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja kutembea tu kwa baba once in a while which z normal..sisi we can start familia yetu...to make it clear sijakubali bado, naona ka umri tumepishana sana na two kids naona ni buggage I never expected to handle...kizunguzungu..sasa nawajua humu ndani nimeomba ushauri sio ndio muanze kunisema mnishauri vizuri tu

hujamsamehe yule aliye do na mfanyakazi mwenzie? Ama ulikuwa humpendi, na ndoa yenu mlikua mshapanga ifanyike within this year
 
Msipoolewa mnaenda kwa waganga, zali limekuangukia unaanza kuleta mambo ya kushauriwa, we huna moyo au wakati mnakubaliana kuwa wapenzi mpk proposal ya ndoa inakuja hukuwa unamjua kiundani?! Wewe tafuta ushauri humu hlf kesho uone mwenzio anapelekwa shopping ya shela! Maisha ni jinsi unavyoyapanga, na je km we huna kizazi huoni km watoto wa mumeo watakuwa faraja kwako?! Olewa, acha shobo!
 
Yes I know, thats why kabla sijakurupuka naomba ushauri

Vipi kuhusu pesa? anazo? kama anazo mkubalie tuu mambo mengine yatajisolvu juu kwa juu.
Waweza kumpotezea na matokeo yake asitokee mtu mwingine tena hadi unazeeka.
 
Mleta mada wewe ukisema Wa nini wenzako wanasema watampata mini!! Ukisema mzee wenzako wanasema uzee mwisho chalinze afu wanachukua fursa hiyo KARAGABAHO!!!!!!!!!
 
Anaweza Akawa amezaa nao lakini si kwamba yeye nimapepe. Mchunguze na ukiridhika jimuvuzishe unaweza kuja kupata kijana ukawa unalia ndani ya nyumba daily kwanza Angalia rate ya watoto walivyopishana angekuwa mapepe angekuwa nao 7 mpaka sasa. mtoto Wa kke 15 asikupe presha anakuwa huyo wajanja watamuoa fasta so usipate presha
 
Back
Top Bottom