Naombeni ushauri jamani

The bastardd doesnt condomize and is vulnerable to hiv. Hana mawasiliano mazuri na kalenda za wenzi wake pia
Anaweza Akawa amezaa nao lakini si kwamba yeye nimapepe. Mchunguze na ukiridhika jimuvuzishe unaweza kuja kupata kijana ukawa unalia ndani ya nyumba daily
 
Hakuna amani kabisa kabisa

Kama ni hivo nakushauri jiepushe na hilo,swala la ndoa ni issue very sensitive,usiingie humo ili ukajute baadaye.
Ingawa swala la umri halimati sana katika mahusiano ya ndoa lakini ni la muhimu,tofauti ya umri kati yenu ni kubwa mno.
Hata hivo nasema mwanaume/mwanamke mzuri atatoka kwa Bwana.
Asante ndg yangu
 
Back
Top Bottom