de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,754
- 23,557
Hata kimya nalo ni jibuHapana bado sijawahi ila kwenye sim nampiaga dada ake kisha naongea nae namtania n.k ila nikimwambia nampenda haongei anakaa kimya!
Hata kimya nalo ni jibuHapana bado sijawahi ila kwenye sim nampiaga dada ake kisha naongea nae namtania n.k ila nikimwambia nampenda haongei anakaa kimya!
inabidi jamaa atupe mbinu za kuwapata kama hawa wa kutukopea hata 500tshDuuh huyu anakupenda kweli 😂🙌🏾
Shule zifunguliwe huba lenu liende likizo
Chini kwenye comment kuna sehm ya reply andika hapoNielekezeni jinsi ya ku-reply member humu kukwaani
Jamaa anadate na songesha 😂 mbinu muhimu kakainabidi jamaa atupe mbinu za kuwapata kama hawa wa kutukopea hata 500tsh
Khaa vijana mna ego😅Mbona nilileta sorry nilikusahau, kwenye uzi wa Usiku wa Manane, Win one aliniuliza
Ni hivi "Bibie alijifanya amelala hakunitafuta ,wakati nilimwambia anishtue,so nami nikapiga mikausho mikali wala sikumcheki"
Hiyo picha hapo ni yako?dada'ake kaolewa jana yeye kabaki nina was was na yeye atakwapuliwa sasa hv namba ya dada haipatikani
Kwamba huoni reply ilipo ukisoma comments za watu au ndio mapenzi ni upofu?Nielekezeni jinsi ya ku-reply member humu kukwaani
Sikio la muazini na mdomo wa mnadi adhana ishalia nenda kaswaliKwamba huoni reply ilipo ukisoma comments za watu au ndio mapenzi ni upofu?
Hapana sio ego ila sometime tunafanya hivi ili mjue kwamba nasi tuna mambo mengine ya kufanya,maana mkijua tumefocus kwenu huwa mnazidi kutuzinguaKhaa vijana mna ego😅
Haya kakate kiu yangu selfika🕺🏻
Msaidie kijana mapenzi yamemchanganyaKwamba huoni reply ilipo ukisoma comments za watu au ndio mapenzi ni upofu?
kkkmmmmkkk walaaiii, achana naeKuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.
NAWASILISHA"
Anakupenda huyo ila anaona aibu kukujibu...pambana Bikra huyo ndo maana anajing'atang'ata.Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.
NAWASILISHA"