Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
- Thread starter
- #81
Hahahaha ngoja namlia timing sema hatukai mtaa mmoja nayeye hana cmMle kimasiara huyo chapu
Hahahaha ngoja namlia timing sema hatukai mtaa mmoja nayeye hana cmMle kimasiara huyo chapu
Sikio la muazini mdomo wa mnadi swala...hivi unaendelea na zoezi lako la Soberity from Skanka?
🤣🤣Haaaaaaaah 😃 😀 😄
Kupatwa kwa Sikio la muazini 😆Muazini kapatwa 😃
PambanaZoezi linaendelea mkuu
Sijagusa tangu niweke uzi
Mbona joannah ka-reply kama kuniwakilisha au?Pambana
Huenda kwa umri nilio kua nao yeye akwa mshangazi@joanahMwambie unataka uumpe cheo cha mke
Subiri ukianza kutoa milio utakuja kutuelezea vizuriKuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.
NAWASILISHA"
Aaa mimi silii kama nikulia ningeshaalia mana huyu dem ananisumbua mpaka marafik zang wanasema naweza kua chiz mana NAMPENDAAA SANAAASubiri ukianza kutoa milio utakuja kutuelezea vizuri
Wewe toto vipi
Kabisa mkuu nitaufanyia ndimaMleta mada natumai umepata ushauri wa kutosha nadhani imebaki kwako sas kwenda kuufanyia kazi
Pamoja mkuuKabisa mkuu nitaufanyia ndima