Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
- Thread starter
- #101
Hapana!Umejaribu kumpa pesa?
Hapana!Umejaribu kumpa pesa?
Rudisha mkopo sasa ndio atakupenda zaid 🤣Yawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
Rudisha mkopo sasa ndio atakupenda zaid
Mkuu unachelewa kuchanganya mno muite getho akija tuuh malizaKuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.
NAWASILISHA"