Naombeni ushauri jamani, hivi ananipenda au?

Naombeni ushauri jamani, hivi ananipenda au?

Siwezi kukuacha umeivaaa....
Nikikuaacha utaoza😀😀😀
mwambie hivi..
Wewe dada sikia weka mambo wazi tusipotezeane mate...then subiri jibu lake.

Ukishindwa njoo inbo..
 
Hapana sio ego ila sometime tunafanya hivi ili mjue kwamba nasi tuna mambo mengine ya kufanya,maana mkijua tumefocus kwetu huwa mnazidi kutuzingua

Last time kuna shori mmoja najua kabisa ananielewa ila analeta za kuleta,nikamwomba namba za simu akasema eti haja zikariri kichwani na kuahidi atanipa kesho, sasa kwani nimemuuliza tena? Namuona aanapitapita ofisini kwetu akitarajia nitamshobokea

My dear tuna mambo mengi ya kufanya kama ambavyo nanyi mnayo ya kufanya
Khee! Lakini ni kawaida kwa mtoto wa kike kuleta pozi mkuu usikaze sana! Tukiwa walaini tena mnatusema loh!
 
Khee! Lakini ni kawaida kwa mtoto wa kike kuleta pozi mkuu usikaze sana! Tukiwa walaini tena mnatusema loh!
Una point my dear naelewa hilo,ila shida unaleta pozi kwa mtu mwenye option nyingi. Now naelewa kwanini wanawake sometime wanazingua sana,ni kwasababu anafuatiliwa na wanaume kibao,kwahiyo anajua kabisa ukija kinyonge kuna mwenzako anakuja kibabe,kwahiyo yupo tayar kwa lolote ubakie au usepe

Sasa ndio mazingira ambayo ninayo sasa,option zipo kibao kwahiyo ukileta sana shobo wala sijali nasonga mbele
 
Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu.

NAWASILISHA"
Umenikumbusha enzi zile nina miaka 17 kama wewe! Hakika utoto raha sana. Ilikuwa kipindi kile binti hata akinichekea tu, nilihisi ananipenda.
 
Una point my dear naelewa hilo,ila shida unaleta pozi kwa mtu mwenye option nyingi. Now naelewa kwanini wanawake sometime wanazingua sana,ni kwasababu anafuatiliwa na wanaume kibao,kwahiyo anajua kabisa ukija kinyonge kuna mwenzako anakuja kibabe,kwahiyo yupo tayar kwa lolote ubakie au usepe

Sasa ndio mazingira ambayo ninayo sasa,option zipo kibao kwahiyo ukileta sana shobo wala sijali nasonga mbele
Duhh! Mapenzi ya siku hizi yana vituko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom