Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,235
- 87,512
Acha ujinga basi!Yawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
Acha ujinga basi!Yawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
Haaaaaaaah 😃 😀 😄Daah eti Sikio la muazini 😂
Jf ni innovative aisee Sikio la muaziniSasa sikio la muadhini limefanyaje au wewe hausikii la muadhini wala la mnadi swala?
Duuh huyu anakupenda kweli 😂🙌🏾Yawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
😎😎Yawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
Huwa ndivyo inavyokuwa, Mwanamke ukisimbua Sana Baadae Mwanaume hata akikupata utalipa fidia ya usumbufu ikiwemo kuwa single mazaSijasoma uzi wako ila kwa kifupi nikwambie tu hakupendiView attachment 3609686
ComedyYawezekana ananipenda mana kuna wakat nilimkuta sehem nikamuomba 500 kwa utani akakopa akanipa
Nakasirika mimi😆
Pole my dearNakasirika mimi😆
Asante, mbona hujaleta mrejesho wa jana sasa rafiki😁Pole my dear
Mbona nilileta sorry nilikusahau, kwenye uzi wa Usiku wa Manane, Win one aliniulizaAsante, mbona hujaleta mrejesho wa jana sasa rafiki😁
Sikio la muazini mdomo wa mnadi swala...hivi unaendelea na zoezi lako la Soberity from Skanka?Daah eti Sikio la muazini 😂