Ntatafuta kozi ya computer hapo dares-salaam pamoja na driving lessons hivi karibuni nikija.nasikia zipo nyingi lakini waswahili wanasema "penye wengi apakosi mchawi".hivyo basi naombeni mnifahamishe ni center gani yenye mafunzo mazuri na wasiobabaisha kwa malipo ya pesa nyingi pamoja na kozi hizo kuwa nyingi.?