Naombeni ufahamu juu ya hili

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Ntatafuta kozi ya computer hapo dares-salaam pamoja na driving lessons hivi karibuni nikija.nasikia zipo nyingi lakini waswahili wanasema "penye wengi apakosi mchawi".hivyo basi naombeni mnifahamishe ni center gani yenye mafunzo mazuri na wasiobabaisha kwa malipo ya pesa nyingi pamoja na kozi hizo kuwa nyingi.?
 
Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.
 
Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.

nakushukuru mkuu,nimezingatia ushauri wako na nimeona manufaa yake ya kwenda ucc kutokana na survey niliyoenda kuifanya pale nimepaona poa.mawazo yko ndio yalionifikisha pale nakushukuru!
 
nakushukuru mkuu,nimezingatia ushauri wako na nimeona manufaa yake ya kwenda ucc kutokana na survey niliyoenda kuifanya pale nimepaona poa.mawazo yko ndio yalionifikisha pale nakushukuru!

okay,your welcome.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom