Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Usijitongozeshe kwa mwanaume! Always mwanaume smart ni kama simba. Hali mizoga, so kujirahisisha sana kwa mwanaume ni sawa na mzoga kwa simba. So be smart hata kama unamtega mwanaume ili mradi iwe tu kama simba aliyewinda fresh prey/swala.