GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Kuna jamaa mmoja anafanya kazi na wakorea: Anasema kuna Mtanzania ambae
amekuwa akifanya kazi kitaalamu sana (Electronics) kiasi cha kuwashangaza
wakorea hao, lakini ni std 7. Kwa mujibu wa jamaa ni kwamba wale wakorea
wakaamua kumtafutia chuo jamaa. Walipoenda DIT wakaambiwa hawezi
kupokelewa mpaka awe amemaliza F.4 - kwa mujibu wa jamaa ni kwamba
huyo dogo yuko Korea anasoma na kapewa kabisa uraia wa huko.
Wale wakorea walishangazwa na Vitu viwili 1.Kuona kijana anamaliza F.4
halafu hana ujuzi wowote
2.Kumaliza F.6 Akiwa hana ujuzi wowote. Akaongezea kwa kusema kuwa
huyo Mkorea alisema kuwa Elimu yetu inawaandaa watu kutegemea na si
kujitegemea. Kuajiriwa na si kujiajiri.
1. Nataka kujua kwa mtazamo wenu kama kuna ukweli juu ya madai haya!
2. Nataka kujua kutokana na uzoefu wenu kuna tofauti gani kati mfumo wa
Elimu ya Tanzania na nchi kama Korea.
Nawasilisha.