Naombeni ufafanuzi wa elimu yetu Waungwana!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,673
Kuna jamaa mmoja anafanya kazi na wakorea: Anasema kuna Mtanzania ambae
amekuwa akifanya kazi kitaalamu sana (Electronics) kiasi cha kuwashangaza
wakorea hao, lakini ni std 7. Kwa mujibu wa jamaa ni kwamba wale wakorea
wakaamua kumtafutia chuo jamaa. Walipoenda DIT wakaambiwa hawezi
kupokelewa mpaka awe amemaliza F.4 - kwa mujibu wa jamaa ni kwamba
huyo dogo yuko Korea anasoma na kapewa kabisa uraia wa huko.

Wale wakorea walishangazwa na Vitu viwili 1.Kuona kijana anamaliza F.4
halafu hana ujuzi wowote
2.Kumaliza F.6 Akiwa hana ujuzi wowote. Akaongezea kwa kusema kuwa
huyo Mkorea alisema kuwa Elimu yetu inawaandaa watu kutegemea na si
kujitegemea. Kuajiriwa na si kujiajiri.

1. Nataka kujua kwa mtazamo wenu kama kuna ukweli juu ya madai haya!
2. Nataka kujua kutokana na uzoefu wenu kuna tofauti gani kati mfumo wa
Elimu ya Tanzania na nchi kama Korea.

Nawasilisha.
 
Huo ndiyo ukweli. Elimu ya Bongo Magumashi

Duh! hapa inabidi nijiulize upya, ina maana miaka 7, miaka 4 na miaka 2 ya A level
ni miaka 14 Tunakuwa na msomi asie na ujuzi wowote? Ina maana hapatikani hata
Fundi umeme hapo? Mh! kama ni hivyo basi ni bora kubadilisha huu mfumo!
 
mfumo huu ni mzuri kwa miaka 100 iliyopita,lkn sahv tunakuza kingereza alafu kiswahili tunakishusha,tuna soma bila kufanya practice.
wakuu mimi bahati nzuri nimesoma la kwanza mpaka form 4 necta,lafu a level cambridge.tofauti kubwa ni kuwa elimu ya kitaanzania unfanywa ukremishe na sio uelewe,mitihani wana taka uandike definition kama vilivyo andikwa kwenye vitabu na sio wewe umeelewa nini na umezidi kuelewa kitu gani katika hilo swali.
 
Huo ndiyo ukweli. Elimu ya Bongo Magumashi

VETA yenyewe siku hizi hawataki tena darasa la 7, wanataka waliomaliza form 4. Labda kama anaenda kusomea udereva!!! Kwa maana hiyo mtoto aliyemaliza la saba na kuishia hapo ndiyo basi tena!!!
 
Kama hukugain kitu kwa miaka yote toka std 1 mpaka form 6 utakuwa ukikuwa na matatizo
 
Huyo dogo amepelekwa Veta za Korea.
Ktk hali ya kawaida std7 hamwezi kufanya vizuri masomo ya DIT.
 
level zote ni muhimu kutokana na mahitaji yake.
Nakubaliana na wewe kabisa.
Inatakiwa watu kufahamu kuwa mfumo wa elimu tunaoutumia unatumika na nchi nyingi sana duniani. Hatukuutunga wenyewe
 
ndio mana maendeleo F.kwasababu mfumo wa elimu unatakiwa uende na uhalisia hapa chini.mfano unasoma physics nuclear alafu vifaa hamna tusome kwa mambo tuliyonayo.na badae yataingizwa mambo mengine kutokana na uchumi na mitaji kukuwa.
 
Kuna jamaa mmoja anafanya kazi na wakorea: Anasema kuna Mtanzania ambae
amekuwa akifanya kazi kitaalamu sana (Electronics) kiasi cha kuwashangaza
wakorea hao, lakini ni std 7. Kwa mujibu wa jamaa ni kwamba wale wakorea
wakaamua kumtafutia chuo jamaa. Walipoenda DIT wakaambiwa hawezi
kupokelewa mpaka awe amemaliza F.4 - kwa mujibu wa jamaa ni kwamba
huyo dogo yuko Korea anasoma na kapewa kabisa uraia wa huko.

Wale wakorea walishangazwa na Vitu viwili 1.Kuona kijana anamaliza F.4
halafu hana ujuzi wowote
2.Kumaliza F.6 Akiwa hana ujuzi wowote. Akaongezea kwa kusema kuwa
huyo Mkorea alisema kuwa Elimu yetu inawaandaa watu kutegemea na si
kujitegemea. Kuajiriwa na si kujiajiri.

1. Nataka kujua kwa mtazamo wenu kama kuna ukweli juu ya madai haya!
2. Nataka kujua kutokana na uzoefu wenu kuna tofauti gani kati mfumo wa
Elimu ya Tanzania na nchi kama Korea.

Nawasilisha.

Ukweli mtupu,mi mwenyewe nilishazungumzia hili kwenye post yangu flan hv. Ni wakati wa serikali kubadili mfumo wa elimu hapa nchini.
 
Nakubaliana na wewe kabisa.
Inatakiwa watu kufahamu kuwa mfumo wa elimu tunaoutumia unatumika na nchi nyingi sana duniani. Hatukuutunga wenyewe

tatizo vijana wanaona mahitaji yao ni mahitaji ya dunia nzima.
 
ndio mana maendeleo F.kwasababu mfumo wa elimu unatakiwa uende na uhalisia hapa chini.mfano unasoma physics nuclear alafu vifaa hamna tusome kwa mambo tuliyonayo.na badae yataingizwa mambo mengine kutokana na uchumi na mitaji kukuwa.

mambo gani tulio nayo?
 
Back
Top Bottom