Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Jul 1, 2017 #1 Hivi mtu akivaa pete kidole cha kwanza kutoka gumba anamaanisha nini? nipeni pia shule kuhusu vidole vingine.
Hivi mtu akivaa pete kidole cha kwanza kutoka gumba anamaanisha nini? nipeni pia shule kuhusu vidole vingine.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,865 Reaction score 172,560 Jul 1, 2017 #2 Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati
Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,085 Jul 1, 2017 #3 Ngoja waje
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 1, 2017 #4 Evelyn Salt said: Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati Click to expand... Wengine tunavaa zile za kusalia (kiimani) tukiwa tupo kanisani au kwenye maombi
Evelyn Salt said: Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati Click to expand... Wengine tunavaa zile za kusalia (kiimani) tukiwa tupo kanisani au kwenye maombi
simpasa 202 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 297 Reaction score 202 Jul 1, 2017 #5 Napita apa maana me mgeni,,
CHE Raptino JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 1,027 Reaction score 1,068 Jul 1, 2017 #6 Kuhusu pete / ringi bado kidogo