Levi Ackerman
Member
- Jun 20, 2026
- 27
- 72
Uzi mzuri huuHabari wana JF .
naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?
Huenda utakuwa mke bora kwa mmeo maana ana changamoto kama hiiKwa uzoefu wangu, njia pekee ya kupunguza social anxiety ni kujichanganya na watu taratibu tu. Usiisubiri siku ambayo utafeel confident ndipo uanze kuongea na watu, anza hata ukiwa na wasiwasi. Kubali tu kwamba wakati mwingine unaweza kukosea, kukataliwa au mazungumzo yasiende vizuri, na hiyo ni kawaida. Kadri unavyozoea kuzungumza na watu, ndivyo ile hofu inapungua na confidence inaongezeka yenyewe
Jaribu kupiga BIA MBILI uone kama utakua na aibu na uoga.Habari wana JF .
naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?
Mimi saivii sipendii story na watu, nipo very low, sina furaha, nakua mpole sanaa.Kwa uzoefu wangu, njia pekee ya kupunguza social anxiety ni kujichanganya na watu taratibu tu. Usiisubiri siku ambayo utafeel confident ndipo uanze kuongea na watu, anza hata ukiwa na wasiwasi. Kubali tu kwamba wakati mwingine unaweza kukosea, kukataliwa au mazungumzo yasiende vizuri, na hiyo ni kawaida. Kadri unavyozoea kuzungumza na watu, ndivyo ile hofu inapungua na confidence inaongezeka yenyewe
Mimi napenda watu WALIO sio talkative SANAANimepoteza sana vitu vingi.
Mwaka flani nliwahi kwenda kwenye interview flani ilikua ni kazi ya kawaida tu , lakini kutokana ja ile anxiety nilishindwa kujieleza vile ipasavyo nahisi ile kazi nilipoteza kwasababu ya hii hali.
Sometimes naweza nikawa nipo kwenye conversion na mtu lakin najikuta nashindwa kukeep conversion.
Mda mwingne hua naweza nkawa nimekaa na watu wengi sana ila nikahisi all of them they staring me, nashindwa kua open up hua nafikiria kwamba hapa nkikosea inakuaje .
Hii hali inanifanya nistalk, na napoteza vitu vingi sana inanirudisha nyuma mno .
Kaka wewe hunywi pombe ππβΊοΈ haya mawazo umetoa wapiiiVaa miwani nyeusi. Hii itafanya udhani/uamini watu wanakuona wewe ni TSS na kwamba wanakuogopa, na hapo ndipo utawaona watu kama vifaranga.
Haha mimi shida yangu nakua msikilizaji tu kuchangia kwangu ni kidogo mno, unaweza ukahisi labda nlikua sikusikiliziMimi napenda watu WALIO sio talkative SANAA
Yaan kwenye conversation tuwe tutapeana PUNCH ukiwa muongeajii yaani ni Bora nisikilizee music au nikae kimya nijisikilize mwenyewe
Asante mkuu nimekupataHakuna anayejali kuhusu wewe uwe unakosea au unapatia chochote, watu hujijali wao zaidi
Hakuna anayekufatilia ni vilee tu watasema mapungufu yako then wataendelea na mambo yao
Hii mbinu nilushawahi kuifanyaia kazi. Niliidanganya akili yangu ikadanyika π.Kaka wewe hunywi pombe ππβΊοΈ haya mawazo umetoa wapiii
Leo nilikua sehemu napata chair fire na nikakuta stranger nikapiga nao biaHaha mimi shida yangu nakua msikilizaji tu kuchangia kwangu ni kidogo mno, unaweza ukahisi labda nlikua sikusikilizi
Sitaki wame wa aina hii!Huenda utakuwa mke bora kwa mmeo maana ana changamoto kama hii
Nakubaliii sanaaaHii mbinu nilushawahi kuifanyaia kazi. Niliidanganya akili yangu ikadanyika π.