tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,942
- 25,306
Hahahahaha lol!!!! Rafiki kwenye hili bado msimamo wangu haubadiliki. Tunazungumzia usalama wa familia kwa jambo dogo sana ambalo msaidizi anaweza kabisa kuamua kuipoteza familia nzima au kuiacha na majonzi makubwa sana. Pia simaanishi msaidizi atumie tu financial resources za familia hovyo hovyo kitu ambacho hata ndugu hatuwezi kumruhusu. Ninachosema ni kuwa flexible ili hawa wenzetu wasijione wanabaguliwa na hivyo kuhatarisha uhai na mali za familia au kutafuta mwingine kila baada ya miezi michache baada ya kushindana.
mkuu, hii ni TOPIC mpya kabisa (ijapokuwa ni nzuri). topic tunayojadili hapa sio pana kihivyo--jaribu kubaki kwenye hoja ya MSINGI--usiende mbali sana. hapa tunaongelea WILAYA lakini wewe unataka kutulazimisha tuumulike MKOA mzima! i think u get the logic.