Narudi, tena nitafurahi nikipata vifungu.
Mimi naombeni kuuliza utaratibu wa ustawi wa jamii unakuaje kama unataka baba wa mtoto atunze mtoto je?
Kwa mtindo huu, 50/50 ngumu sana. Badala ya kukomaa kuingiza kipato unawaza kwenda ustawi wa jamii?? Kwani wewe ni mke wa ndoa? Kama ni mzazi mwenza tu, sh100 kwa mwezi inakuhusu.
Na kama mtoto ana 7yrs+, ndo kabisaaa, akiamua kukukomesha anasema tu apewe akalee mwenyewe.
Ukizaa nje ya ndoa mtoto wako ana haki ndogo sana ya kudai, omba tu mwanamme awe mwelewa na akubali jukumu la kulea.
Siku hizi mtoto wa nje na wa ndani wote wana haki sawa...
Naweza kukubali kwa upande wa Waislamu tu otherwise soma kesi ya Elizabeth Mohamed v Adolf John Magesa.Subutu....
Ngoja nisome vifungu, hapa inategemea sana, kila case ni tofauti.
Naweza kukubali kwa upande wa Waislamu tu otherwise soma kesi ya Elizabeth Mohamed v Adolf John Magesa.