BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Naona hii story ni story ya kubumba tupate cha kuongea hapa. huyo bwanake siyo shoga hata dakima moja, ila waume zetu wanapenda kusave namba za wadada wengine kwa majina ya marafiki zao. Chunguza vizuri mumeo ana demu mwingine aliyesevu namba kama jina la rafiki yake. Kama siyo uzushi mwache huyo bwanako haraka sana
Inawezekana alikuwa hajui hii mambo ya kusave majina ndivyo sivyo..Kama jamaa ana vitendo vya kishoga na kaviona hapo ingekuwa suala lingine. Jamaa atakuwa tu na mchezo wa kusave majina tofauti ili wife to be aone ni marafiki zake kumbe ndo hivyo!..
Ila kama ni unahisi ni shoga chukuza vizuri matendo yake, usiwe unaishi na samaki anayekaangwa pande zote japo anashughulika na kushughulikiwa..