Naombeni msaada

Naombeni msaada

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,240
Kuna mtu ameaaply wizara amesubmit kimakosa sasa kuna marekebisho anahitaj kufanya na kuongeza baadhi ya document akifanya hivo inagoma sababu alisha submit deadline tar 28 siaja namsaidiaje

Nb nimemshauri aende wizaran dodoma kabla ya hiyo deadline. Kama kua mwenye wazo anisaidie.
 
Nimemshauri hivyo maana ameshapiga simu ameambiwa asubir ukichek deadline inasogea
Kwenye website panasomeka hivi. Aende wizarani anaweza kupata msaada
IMG_20220423_085717_731~2.jpg
 
Back
Top Bottom