Sorry mkuu ya mama Samia yameingiaje tena mkuPole sana wengi tupo kwenye msoto wa Hali ya juu sana, nimeona hata uvivu wa kwenda kujiandikisha kama mpiga kura, japo kituo kipo nyumba ya tatu toka nilipo lakini chaguo langu ni mama samia, ungeweka wasifu wako huenda ungesaidika, (professional yako hukuweka)
Mbona kama ni mambo binafsi sana haya mkuu? Ila Jf🙌👇👇👇👇
👆👆👆👆👆![]()
INAUZWA - Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa
Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu, Karibu Sana.www.jamiiforums.com
Hapo juu ulikuja unauza kiwanda kabisa bila aibu wakati ungeweza kusimamia ukajiingizia fedha..
any way, sawa... ukapata laki nane, Je ulizipeleka wapi?
Nimekuja MkuuMbona hizi Skills ni mali kabisa kaka Njoo DM nikupe ushauri , actually ungetoa pia shida yako mapema ningekulink na jamaa wa mgodi flani mkubwa hapa Tanzania mwezi uliopita walikuwa wanatafuta watu wa kuingia kwenye kampuni mama kama Helpers au assistant operators,ila hakijaharibika neno
Duuu, ni kweli ajira za Electrical Engineers zimekuwa issue hata utumishi wanatangaza kwa uchache sanaa! Basi usiwe na shaka Chief, nitakapoona au kusikia huko Duniani nitakujuza.Mkuu Mimi by Profession ni Electrical Engineer,
Lakini nimepambana kwa hiki kipindi cha mpito kutafuta ajira Bila mafanikio, Nimejaribu Sana,
Lakini sijapata tamaa