KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,144
- 1,888
Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu kimaisha, Nina Mtoto yupo shule/kodi, Mke wangu Mjamzito natarajia kupata Mtoto Mwingine na sina Kitu kabisa
Wazazi nao wananiangalia Mimi kama tegemeo lao,
Nina zaidi ya Mwaka Mmoja kwenye Hii misukosuko(Ni story ndefu Sana) Nipigwa Sana kiuchumi,
Mnisaidie Ndugu zangu
Natanguliza shukrani zangu.