farujeuri
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 153
- 121
Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo
ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara ya kwanza.
Mpaka asaiv mtoto Wangu ana umri wa miezi 6 na siku kadhaaa sasa jana natoka mihangaikoni nafika nyumbani namkuta mama shenghele ananiambia matiti yake yanatoa maziwa yenye unjano njano msaada please huu unjano unatokana na nini ?? najua hapa hakishindikani kitu nategemea majibu yenye tija katika hili.
Nawasilisha wakuu