Naombeni msaada wenu kuhusu hili linamlomtokea wangu

farujeuri

Senior Member
Jan 22, 2017
153
121
Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo
ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara ya kwanza.

Mpaka asaiv mtoto Wangu ana umri wa miezi 6 na siku kadhaaa sasa jana natoka mihangaikoni nafika nyumbani namkuta mama shenghele ananiambia matiti yake yanatoa maziwa yenye unjano njano msaada please huu unjano unatokana na nini ?? najua hapa hakishindikani kitu nategemea majibu yenye tija katika hili.

Nawasilisha wakuu
 
Hayo maziwa anayatoa mama kipindi mtoto anazaliwa yana kuwa na cholesterol nyingi na pia yana boost immune system ya mtoto.

Mtoto wako wa miezi sita amedhurika kwa kunyonya maziwa haya?

Mama ana maumivu na homa iwe ni infection?

Kama majibu yote ni hapana nenda tu kwa daktari upate clarification
 
Ahsante kwa ushauri
 
Nenda hospital kwani afya ya mama mzazi inapoonyesha mabadiliko ya ghafla unapaswa uwahi kwenye kituo vha afya kwa ajiki ya usalama wa mtoto
 
Pole Mkuu maziwa ya mama kubadilika nihali yakawaida na visababj vingi huchangia.

Ila unjano wamaziwa ya mama nimatokeo ya Mwili wamama kuzalisha Fat zaidi na Antibodies zaidi ktk kuhakikisha anampa mtoto nguvu ya kupambana na infections.

Ikiwa kuna badiliko ktk mwili Wa Kichanga , Mara nyingi sana Mama anazalisha Colostrum ambayo ina utajiri mwingi Wa Immunoglobulin A nakazi yake kumwepusha mtoto dhidi ya iyo badiliko.

Sasa basi km nivema ujikite zaidi kwa mtoto umuangalie ,lkn pia kama mama anaambata na dalili nyingine basi nivema kuwahi hospital.
 
Ahsante mkulu kiufupi afya zao hazina mabadiliko yoyote namaanisha kichanga kinacheza na mama yake hana panapo muuma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom