Naombeni Msaada wenu kuhusu bei ya Unit ya Maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni Msaada wenu kuhusu bei ya Unit ya Maji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Godfrey GODI Js, May 28, 2011.

 1. G

  Godfrey GODI Js Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie. Nazihitaji data hizo ili niweze kulinganisha na mkoa wetu wa shy. SHUWASA wamepandisha bei kwa takrban 90%, wananchi tunapinga. Data hizo zitasaidia ktk kuwasilisha malalamiko yetu kwa ngazi zinazohusika kabla ya kuwahamasisha watu wachukue hatua ya kupinga unyonyaji huu. Mods naomba msiitoe thread yangu hadi ntakapopata majibu. Nisaidie.
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  shuwasa wamepandisha kuwa kiwawano gani kwa unit??
   
 3. T

  Taso JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Mzee Mwanakijiji yuko Detroit suburbs, Marekani, hajawahi kununua maji Tanzania karne hii, ni rahisi zaidi kwako kupata data hizo. Na kama huwezi basi hata ingekupiga kichwani usingeitambua data hiyo wala usingeweza kuitumia, unapoteza muda na kujaza bandwidth.
   
 4. G

  Godfrey GODI Js Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko humu jf kimakosa. Ninajua mwanakijiji anaishi marekani, nmeomba msaada wake kwa thamini mchango wake mkubwa ktk tz, japo yupo usa, mwanakijiji amekuwa mstar wa mbele ktk mambo ya hapa nchini. After all skukuuliza wewe, wewe ni nani hata udirik kumjibia? Acha upuuz bwana. Kama upend kamba yangu, usiisome.
   
 5. T

  Taso JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  bora mpuuzi mwenye effort ya ku research data za nchi yake ndani ya nchi yake kuliko laggard anaetaka kutafuniwa na kutafutiwa data za Tanzania na mtu wa Marekani. Mtu yuko Detroit suburbs atajuaje bei ya maji Shinyanga wakati hajawahi kununua maji Tanzania karne hii. Anakoishi kuna mito ya maziwa na mabomba ya asali, hawezi kukutatulia adha za maji Tanzania kutokea Marekani. Jenga nchi yako.
   
 6. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Suala si kupandisha kwa asilimia 90, tuambie awali ilikuwa sh. Ngapi na sasa wanauza kwa sh. Ngapi. Yawezekana unit 1 ilikuwa sh.100, wameongeza 90% ikawa sh. 190 bado mnalalamika?. Nipe mabadiliko ya bei kwa shilingi ya tz ili tufanye comparison na mamlaka nyingine
   
 7. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ndugu Godfrey GODI Js fanya namna hii...

  1. Nenda TTCL Makao Makuu Shinyanga waambie unahitaji Tanzania Telephone Directory toleo la sasa hivi. Wakiuliza namba yako watajie namba yoyote ile ya landline ya Shinyanga. Au kama umeajiriwa cheki kwa receptionist wenu atakuwa nayo.

  2. Kwa kutumia uzoefu wa kuishi Tanzania bila shaka unafahamu format ya majina ya mamlaka za maji. Format inakuwaga hivi: Jina la mji + Urban Water Supply and Sewerage Authority.

  Mfano:
  - Shinyanga Urban Water Supply and Sewerage Authority
  - Dar es Salaam Urban Water Supply and Sewerage Authority
  - Morogoro Urban Water Supply and Sewerage Authority

  ... na kadhalika.

  3. Yatafute hayo majina kwenye Tanzania Telephone Directory ya TTCL, utapata namba zao.

  4. Wapigie simu mmoja baada ya mwingine. Usiwaambie unafanya utafiti watakupotezea. Waambie wewe unataka kuvuta bomba je bei ya unit ya maji yao ikoje?

  ** Mwisho kabisa kwa kuongezea ukishakusanya hizo bei ziweke kwenye excel tuletee nakala hapa JF ili akitokea mwingine kwenye tatizo kama lako asipate shida. **
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,639
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hii thread imenichekesha sana, hasa hiyo AGENT ilivyotumika hapo!
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tusimlaumu Godfrey Godi Kabisa.

  Hii ni ushuhuda tosha umahiri waliokuwa nao members wa JF wa wakati huo, ambapo kulikuwa na msaada wa haraka na uhakika kuhusu post zilizoletwa jamvini.

  Once upon a time there was a blog known as Jamboforum, which later became known as Jamii forum.

  The forum was like an encyclopedia where you could get any kind of information from member on any matter ranging from education to entertainent, suffice is to state that it was cross cutting....

  But, alas today........
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
   
 11. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  We unamatatizo gani kama wewe unazijua hizo data si uzimwage hapa. Kazi kujiproud tu kumbe labda hata hujui chochote. Huyu jamaa ameuliza nadhani kwa mtu ambaye ana akili, anachotakiwa kufanya ni kujibu au kumwelekeza sehemu atakapo weza kuzipata sasa unaanza kuleta story nyingi na kujifanya unajua. Sasa kama unajua ndo time yako kuzitoa. Be careful usijifanye unajua kumbe unajua kimoja kati ya mia.
   
Loading...