Naombeni msaada wataalam wa kudowload vitabu kwenye internet

KWELIMT

Member
Feb 16, 2011
89
34
Wakubwa Habari zenu!

Samahani sana naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote ya kuweza kuaccess vitabu online maana napata sana shida vitabu vingi vinafunguka but wamevizuia kudownload.

Nawasilisha ombi langu kwenu.
 
Inabidi ulipie, otherwise umpate mtu mwenye kusoma college nje yenye online library akuazime details zake
 
unatumia nini kusomea vitabu?? na kama unaongelea educational books, uatapata shida kupata ebooks. ila kama ni novels na so forth, tumia hizi programs:
kama ni pc unatumia, naonelea kuwa calibre (link hii Calibre) ambayo inasoma kila aina ya vitabu (pdf, epub, pbc etc..)
kama unatumia iphone, tumia ibooks kama unatumia iphone 4 au 4s (ukihizitaji ni PM nitakutumia kama attachment) na kama ni 3gs na kushuka, tumia stanza (stanza ni nzuri kuliko ibooks, lakini haifanyi kazi na ios5), hii pia ni PM nitakutumia kama attachment ukihitaji
na kama unatumia android device, tumia kindle (download kutoka app market)
kama una windows mobile phone mi sijui utakachotumia :madgrin: coz mi sipendi wm na siji nikaitumia.. :whistle:
after that, nenda pirates bay (link-->TPB) tafuta kitabu kwa jina au author na kwenye description ya kitabu, hakikisha ameweka mfumo wa .epub au .mobi
mfano-- ninasoma kitabu cha hunger games (link--> Hunger Games) utaona kuna mifumo mingi. chagua .epub coz ndo mfumo popular na inafunguliwa ni apps zote nilizotaja hapo juu

1hxikm.jpg



15efr55.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom