Naombeni msaada wana jf nahitaji kurudia mtihani

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
20,728
2,000
Kwasasa nipo chuo kikuu naelekea kuhitimu, ila nafsi yangu haina amani, nimesoma shule ya kata, changanya na utoto, na ukosefu wa walimu, nikapata div 2 ya 21 mwaka 2010,

Lakini hadi leo nafsi inaniuma nahitaji nirudie masomo ambayo nilipata alama ambazo zilichangiwa na utoto, ukosefu wa walimu, mazingira duni,

Nahitaji nirudie masomo haya nipandishe alama , Physics nilipata C, hesabu nilipata C ,chemistry nilipata B ,biology nilipata C, english nilipata F,

Nahitaji niyarudie haya masomo nauhakika nikiyarudia nitapata A zote, labda english nahitaji walau nipate C,

NAOMBENI USHAURI JE INARUHUSIWA KUYARUDIA ,?

NAHITAJI NIKACHUKUE FORM MAPEMA ,KAMA INAWEZEKANA,

Mwez wa 7 namaliza bachelor yangu ,nahitaji mwez wa Kumi ninavyofatilia chet cha chuo, nikipitie na cha form 4 kikiwa na A's kuanzia 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marvelous King

JF-Expert Member
Jan 7, 2019
658
1,000

Mkuu kwani ulienda moja kwa moja chuo au ulipitia A level??

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,531
2,000
Kwasasa nipo chuo kikuu naelekea kuhitimu, ila nafsi yangu haina amani, nimesoma shule ya kata, changanya na utoto, na ukosefu wa walimu, nikapata div 2 ya 21 mwaka 2010,

Lakini hadi leo nafsi inaniuma nahitaji nirudie masomo ambayo nilipata alama ambazo zilichangiwa na utoto, ukosefu wa walimu, mazingira duni,

Nahitaji nirudie masomo haya nipandishe alama , Physics nilipata C, hesabu nilipata C ,chemistry nilipata B ,biology nilipata C, english nilipata F,

Nahitaji niyarudie haya masomo nauhakika nikiyarudia nitapata A zote, labda english nahitaji walau nipate C,

NAOMBENI USHAURI JE INARUHUSIWA KUYARUDIA ,?

NAHITAJI NIKACHUKUE FORM MAPEMA ,KAMA INAWEZEKANA,

Mwez wa 7 namaliza bachelor yangu ,nahitaji mwez wa Kumi ninavyofatilia chet cha chuo, nikipitie na cha form 4 kikiwa na A's kuanzia 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kujua kwanza

Huko chuo unasoma course gani ?

Advanc umesoma comb gani?

Hiyo degree unayochukua, kwani haina umuhimu wowote kwa sasa,mpaka ukahangaike na o level tena?

Una umri gani?

Kwanin unahitaji kupata izo A kwenye chet, unadhani ndio rahisi kupata kazi?

Kwa elimu uliyonayo unauwezo wa kuingia mtaani na kuanza kupambana, hizo A za kwenye cheti sidhan kama zina umuhimu kama unavofikili,

Ingia mtaani kijana upambane, acha kuogopa mtaa, elimu uliyonayo inatosha kabisaSent using Jamii Forums mobile app
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
8,441
2,000
Unataka kuwaongoza watoto ili uonekane genius?

Mkuu kwanza nashukuru umekuja vzr bila kejeri

Chuo nasoma kozi ya mechanical engineering, A level nilipiga pcm nikapata div 2, ya 11,

Hitaji langu sio kuajiriwa ,mm sina changamoto hiyo, nimeshajiajiri na maisha yanaenda vzr nikiwa nimeoa tayari,

Lengo langu ni kuweka chet changu safi, maadamu nafas ipo, basi

Kama nilivyoeleza nahitaji kuondoa F ya english, nahitaji kuapgrade masomo ya sayansi niliyopata C Kwenda kwenye B NA A tu,

Hii haihusiani na ajira wala nn, mm nilishaachana na mawazo ya kujiajiri mkuu, kama mtaani nilishaingia kitambo sana, nimemaliza form 4 ,2010. Lakin chuo kikuu namalizia sasa , hapo katikati niliingia mtaani kuweka maisha sawa,

Hivo kama inawezekana nijibu nianze usajir mapema ,na uhakika nitasimamisha A Kwa hayo masomo, ni hayo tu mkuu,Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
275
500
Ndugu yangu. Hebu fanya hivi, malizia hasira zako kwa kugundua kitu ambacho kitakuwa gumzo duniani, kwa sababu unaonekana wew ni jiniasi.

Unahangaika na vyeti vya nini umeishafika chuo kikuu!

Onesha application ya degree yako basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
8,441
2,000
Siwez kujibishana na mwanaume aliyezoea umbea, , unadhani mimi nategemea udaku niishi? Sijakuita ,nimeeleza kila kitu clear, hizo F ulinipa,

Mimi sio mwenzako kijana, jf siku hizi imekuwa na watu wa ovyo ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukarudie na kiswahili pia kwa maana bado hata uandishi unakupa tabu.

Ovyo ovyo maana yake nini? Kiswahili fasaha ni hovyo hovyo na sio ovyo ovyo.

Pili unaonekana unauwezo mdogo sana, yani English una F??????? bila shaka hata masomo kama historia, jiografia nayo umelamba D au F kabisa.

Rudia kijana, uondoe hizo taka taka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,245
2,000
kwa nini huo muda usiutumie kugungua machine yoyote ile...?
msomi gani una mawazo ya kitoto hivi?
 
Nyamuswa

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
580
1,000
Usipoteze muda wako kwa kutaka kurudia mitihani ambayo umefaulu vizuri. Weka concentration kubwa kwenye masomo yako ya bachelor degree, maana ukipata GPA ndogo itakutesa sana/ utahangaika kupata kazi. Yaani kwa ufupi ukipata lower second hata usome masters degree then ufanye PhD huwezi kuwa mkufunzi chuo kikuu na kazi nyingi zitakupitia kushoto, labda kama utakuwa sector ya afya hapo ni ngumu kukosa ajira. Tukirudi kwenye mada yako, unaruhusiwa kufanya huo mtihani hata kila mwaka kama utaweza. Cha msingi nenda shule yoyote yenye kituo cha watahiniwa binafsi watakuelekeza namna ya kufanya malipo baraza. Nikutakie kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako though naona unapoteza muda wako coz maisha yanakimbia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom