naombeni msaada wa simu ideos. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada wa simu ideos.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by samilakadunda, Aug 21, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ninasimu ya ideos touch screan,tatizo ni kwamba nikijiunga net,nasipo idisconect nakuta pesa zote zimeisha,pia nikiwa napesa kama sh 500 nikigoogle marambili pesa yote kwisha tofautina simu N95 ambayo huwanagoogle 500 sikunzima! Naomba msaada tatizo nisimu au?
   
 2. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkwawa myalukolo nakungoja kaka!
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kaka hiyo 4ne me pia nlikuanayo nd it was locked (nlishafanya mpango wa ku-unlock ikashindikana) tatizo ni apps zake 1st of Google maps, GPS ikiwaka 2 basi dats all it needs ni kukata hela kwa kwenda mbele. Kuna apps nyingi pia zinarun in the background solution ni kuzima Data Switch kila ukimaliza ku2mia internet nakuwasha unapoihitaji. Pia GPS uwe unaizima unapotumia internet(if u r not in use with it)
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  mi stumii android ila nafkiri itakua (ota) over the air programing kwamba kunakua na updates then ukieka salio simu inaji update then kasalio kanakombwa.

  Pili browser nyingi za android zinaonyesha page as it is na ukubwa ule ule bila kucompress data hii husababisha hela kwenda nyingi kuliko kawaida so nakushauri jaribu kutumia opera mini badala ya browser za kawaida

  Kusema ufunge hizo nyanja ili simu isitumie internet itakua si busara maana hizo updates ni faida yako ushauri wangu badala ya kutumia hela kawaida unga bundles zitakazokupatia mb's nyingi na kufanya mambo yako yote ya net
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kazi ndogo saana hii.
  1. install this two apps from play store Z4ROOT and DROIDWALL(Don't open any of them untill you finish installation)
  2.Open Z4Root then click on permanent root
  3. restart your phone. (utaona kuna ki app kimeongezeka kinaitwa superUser kama hakipo rudia steps mpaka kije)
  4.open DroidWall kisha allow superuser permission(kumbuka ku tick kibokx cha remember action)
  Sasa chagua apps ambazo zutatumia internet by clicking both two check boxes kisha options then apply rules then activi
  ate, kumbuka ku grant access apps ambazo unahitaji zitumie internet.

  UKIKWAMA RUDI TUANZE UPYA
   
 6. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Thanks mkuu
   
 7. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Thanks ningaR,hebunijaribu nitakupa feedback
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  pa1 mkuu, pia kuna software hii "Androidlost" kama unahic cm inaweza potea 1 day download hii ki2 humo ndani. Ukienda kwenye site yao androidlost.com uka sign in your Gmail acc unaweza kugundua on map sim yako iko wap, kama GPS iko off unaiwasha,Piga sim hata kama kabadili line so unapata # za jamaa, 2ma sms kwa line yake mpya,take pics,take recordings,get call list,get txts etc nzuri sana pia kama una m2 una m spy. Afu mkuu hiyo avatar mbona inatishia amani asee
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  yeah trust me kwa hii sim ni necessary Updates zote inakupa taarifa hamna update hata 1 inayofanywa bila taarifa. Tatizo ni apps like Google maps na similar apps za kudownload inabidi kuzifungia o kuchukua app kama NingaR alivosema. Also yeah kifurushi ni good idea kama anataka ku2mia pesa vizuri ni bora kuweka vifurushi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru wakuu! Kwa elimu yenu mungu awabariki.
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umefanikiwa???
   
 12. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  bado kaka nijaribu kurudia tena kama maelekezo yako yalivyo eleza nita kutaarifu soon nitaka fanikiwa ndugu NingaR
   
 13. j

  john hotsam da1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  umenihelp mkuu,thanks
   
Loading...