Naomba msaada kuunganisha simu na nainternet ya ZANINTEL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada kuunganisha simu na nainternet ya ZANINTEL

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by samilakadunda, Sep 12, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wadau kama mnavyoona hapo juu napata shida ya kuunganisha net simu zangu N95 na IDEOS naombeni msaada wenu ndugu zangu.
   
 2. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jamani mpo wapi? Mkwawa na wengine!
   
 3. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Zanintel ndio mtandao gani yaani uko nchi gani?
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,117
  Trophy Points: 280
  tengeneza manual access point kwenye n95 nenda menu then tools then setting then connection/destination nenda access point then option create new.

  Connection name iwe jina lako au chochote unachopenda na apn (acess point name) iwe .internet then back ushapata setting ya mitandao yote

  Kwa ideos nenda setting katafute network then tafuta acess point add new then fata same procedure conection name jina lolote na apn iwe internet
   
 5. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  andika neno WAP NOKIA N95 afu 2ma kwnd 15098..then follow the procedurez!
   
 6. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Jana nimeconnect simu yangu na internet,simu yangu ya nokia. Kilichihitajika ni cable,na cable yenyewe lazima iwe original,ambayo ilkuwa sh. 10,000. Halafu nemefanya download kutoka katika net ya software ya ile simu ninayotumia. Download ni free.And now I am on the net. Kuna software zaidi,free soft ware,ambazo zinahitajika ili niweze kutazama movie za youtube au kiss ass.
   
 7. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  thnx mkwawa ingawaje sijafanikiwa sijui na kosea wapi niendelea kujaribu.
   
 8. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  thanx chrisman na simu ya ideos nifuate hatua hiyo.
   
 9. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ideos niwe mkwl cjawh 2mia!!jarb hyo trick ya chief mkwawa kama iko poa
   
 10. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,433
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Kwa zantel tuma neno internet/wap kwenda 15098,then utapoke msg toka kwao yenye code,then itakuja flash msg ambayo utatakiwa ureply kwa kuandika ile code,so settings zitakua tayari
   
Loading...