Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 9, 2021 #1 Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
ostaaz Senior Member Joined Jun 27, 2021 Posts 173 Reaction score 134 Jul 10, 2021 #2 Refa ndo kila kitu, kozi zote poa tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,287 Reaction score 185,567 Jul 10, 2021 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #4 ostaaz said: Refa ndo kila kitu, kozi zote poa tu Click to expand... Shukran kiongoz🙏
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #5 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... 🙏🙏🙏
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #6 Clinical Medicine ndiyo mpango mzima
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #7 kolola said: Clinical Medicine ndiyo mpango mzima Click to expand... Shukran ndug
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #8 Mr HQ said: Shukran ndug Click to expand... Kama form four ulipata angalau D ya Physics jiunge na CMT
Mr HQ said: Shukran ndug Click to expand... Kama form four ulipata angalau D ya Physics jiunge na CMT
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,842 Reaction score 6,963 Jul 10, 2021 #9 Shughulika na hiyo first choice yako basi usi yumbeyumbe utapoteza signal
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #10 kolola said: Kama form four ulipata angalau D ya Physics jiunge na CMT Click to expand... Hapana sikupat bro
kolola said: Kama form four ulipata angalau D ya Physics jiunge na CMT Click to expand... Hapana sikupat bro
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #11 Mr HQ said: Hapana sikupat bro Click to expand... Pole
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #12 Lihove2 said: Shughulika na hiyo first choice yako basi usi yumbeyumbe utapoteza signal Click to expand... Nashukuru kiongozi
Lihove2 said: Shughulika na hiyo first choice yako basi usi yumbeyumbe utapoteza signal Click to expand... Nashukuru kiongozi
Mr HQ Member Joined Oct 26, 2020 Posts 81 Reaction score 51 Jul 10, 2021 Thread starter #13 kolola said: Pole Click to expand... Sawa. Kaka ila kam una msaada wowt wawez kunisaidia kuhus hiz course Nitashukur san 🙏
kolola said: Pole Click to expand... Sawa. Kaka ila kam una msaada wowt wawez kunisaidia kuhus hiz course Nitashukur san 🙏