Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Unene ni dalili kuwa mwili haupati mazoezi ya kutosha, hakuna excuse Miss Natafuta fanya tizi , mimi ndio usiseme ni mnene mpaka najichukia,nishafanya mazoezi weeee lakini wapi..napunguza mbili naongeza nne
Mazoezi sina muda ndo shida.labda niende asubuhi saa 10/11
Sasa itawezekana kweli
Nimecheki gym nyingi around me wanafunga saa 3
Na mapersonal trainer nimeona wako ghali sana.
 
Sina dalili ya kidney disease bna,halafu asubuhi nikiamka niko normal
Hivi sex inasaidia??
Sex inaweza kusaidia ndiyo
Screenshot_20211126-154012_Chrome.jpg

Screenshot_20211126-154027_Chrome.jpg

Screenshot_20211126-154041_Chrome.jpg


Kuna mwongozo wa kitabibu hapa . Good luck aisee ila kama ulivyoshauriwa na wadau hapo juu kafanye comprehensive physical exam na uhakikishe moyo, figo, ini na viungo vingine vinafanya kazi sawasawa; na kama presha yako pamoja na sukari viko sawa pia.

 
Aisee cariha, njoo usaisie watu huku kupunguza kg 10.

Wakifuata maelekezo yako naamini watauona Mwanga..

Nahisi Jamaa alidanganywa K vant inapunguza unene..
Mimi mazoezi ya kutembea yalinisaidia sana na kupunguza kula kula na usiku nilikuwa nakula matunda tu, mchana saa nyingine nashindia maziwa mgando, mboga mboga kwa sana, nilipungua miguu ikaacha kuvimba.
 
Sex inaweza kusaidia ndiyo
View attachment 2024634
View attachment 2024635
View attachment 2024636

Kuna mwongozo wa kitabibu hapa . Good luck aisee ila kama ulivyoshauriwa na wadau hapo juu kafanye comprehensive physical exam na uhakikishe moyo, figo, ini na viungo vingine vinafanya kazi sawasawa; na kama presha yako pamoja na sukari viko sawa.

Sawa mkuu.ila sina shida
Kuhusu sex ngoja nitafute mwanaume
 
Edema is swelling caused by excess fluid trapped in your body's tissues. Although edema can affect any part of your body, you may notice it more in your hands, arms, feet, ankles and legs.

Edema can be the result of medication, pregnancy or an underlying disease — often congestive heart failure, kidney disease or cirrhosis of the liver.

Taking medication to remove excess fluid and reducing the amount of salt in your food often relieves edema. When edema is a sign of an underlying disease, the disease itself requires separate treatment.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom