Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Mficha maradhi kifo humuumbua.

Naombeni mnisaidie nipone huu ugonjwa
Mimi ni bonge kiasi nina kg 96,niliambiwa niwe nakunywa maji mengi.tatizo likazidi,

Niimeambiwa nisinywe maji mengi ni mabaya kwa mwili wangu hata sielewi
Nikilala usiku asubuhi naamka miguu iko poa

Nikisimama simama cause kazi yangu inainvolve kusimama simama ndo kama hivo yaani

Inanikera kusema kweli
Mwenye dawa pls maana humu watu wengi na wataalamu wengiView attachment 2024605View attachment 2024607View attachment 2024608
Kuna Wapuuzi wameshakutamani
 
Wengine tuna hangaika kuongeza hata kg 2,wengine wanahangaika kupunguza😞
Kama kilo zingekuwa zinahamishika,mumy ningekuomba unipe kg 10
 
Kwenye maduka ya vifaa vya gym. Kariakoo.

Spinning bike kwa lugha nyingine wanaita stationary bike

Lazima ujue uzito wa mtumiaji kwanza kabla hujanunua. Ili usije nunua ndogo sana ama kubwa sana
Roughly sh ngapi mkuu??
 
Roughly sh ngapi mkuu??
Pole madam wangu.

1000106074.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom