Msaada wa makadirio ya gharama kwenye ramani hii

DEAL88

JF-Expert Member
Apr 9, 2016
875
1,097
MSAADA WA MAKADIRIO YA RAMANI HII KTK KUNYANYUA BOMA NA KUEZEKA ,MSINGI NILIJENGA MWANZONI KABISAA

IMG-20220222-WA0016.jpg
 
Mkuu kupata actual cost inahitaji kuusoma mchoro vizuri. Pia eneo lako likoje na liko wapi? Mm naweza kukufanyia hizo estimate kwa gharama ya tshs 30000 tu. Karibu
Mkuu unaposema eneo likoje unamaanisha nini?
Yeye kasema msingi alishajenga tayari, hivyo anahitaji kujua gharama kujenga boma na kuezeka. Vipimo vipo kwenye mchoro. Fanya mahesabu ya matofali, idadi zidishakwa bei.
Ugumu ni huko juu (kuezeka) maana plan ya paa haipo hapo.
Kama unaweza umdizainiye paa, tafuta idadi ya boriti za kenchi, lati na idadi ya mabati. Zidisha idadi ya vifaa hivyo kwa bei ya kila kimoja (boriti, lati, mabati,). Kuna misumari (ya bati na ya kawaida-inch 4 na 3)
Kuhusu mafundi ataelewana mwenyewe. Wewe mfanyie mahesabu ya vifaa.
 
Wakati mwingine tuwe fair kidogo. Unataka mtu ajipinde afanye mahesabu yote hayo bila malipo yoyote? Mimi naungana na PAUL Building kuwa kama anataka kupata mahesabu yanayokaribia hali halisi, ni bora alipe ili afanyiwe kwa umakini. Vinginevyo kama kuna mtu anayetaka kutoa sadaka ya kumfanyia bure basi ni vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom