JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Naombeni msaada jamani kwa mtu anayefahamu njia bora ya asili ya kusaidia mtu kuongeza damu mwilini kwa haraka bila kutumia dawa za hospital.
NAOMBENI MSAADA JAMANI KWA MTU ANAYEFAHAMU NJIA BORA YA ASILI YA KUSAIDIA MTU KUONGEZA DAMU MWILINI KWA HARAKA BILA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITAL.
matembele na mchicha fastaaa tu mpka damu inamwagika[/QUOTNATENGENEZA JUICE AU NACHEMSHA?
...nimekuwa na tabia ya kuchanganya konyagi ndogo na serengeti.
madamu yamenijaa mpaka napata kizunguzungu
hahahahaaaa...kuna watu watanuna jamaa yangu we subiri...
Hiyo ndio funga kazi,mara matembele ooh mchicha mmekuwa mbuzi!!.
Jamani mwenzenu ataka msaada WA haraka nyie mwamuuza kabisa...
Hiyo ndio funga kazi,mara matembele ooh mchicha mmekuwa mbuzi!!.