Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

Jimmy GP

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
253
Reaction score
139
Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home mapema angalau awe amelala nikija na mm ni kulala tu.

Sasa hapa home nina mfanyakazi wa kike ndiye anayeniandalia chakula, maji ya kuoga ndiye anayepika nk nikimwomba mke wangu anasema simhurumii kwamba nampa kazi wakati yeye n mjamzito

Basi nimekaa nikaona nisimpe kazi hata moja nikawa nafua nguo zote napiga usafi home fresh namsaidia mfanyakazi kupika namwandalia chakula nk sasa tukiwa kwa bed anataka tusex namwambia wewe si mjamzito utawezaje kusex wkt hauko vzr? Anasema nina mwanamke mwingine nje ndio maana sitaki kusex naye....

Aisee najaa sana upepo basi tu, Sasa juzi alienda hospital wkt mm niko job nikamuuliza wamekuambiaje akasema ameambiwa apumzike asifanye kazi nikamwambia pumzika tu, matokeo yake n kwamba jana kafua nguo wkt mm niko job nilivyorudi nikamuuliza wewe si umeambiwa upumzike iweje umefua? Akanuna,

Sasa kuna nguo zilikuwa zimebakia na nyingine ni zile nilizokuwa nimevaa nikamwomba aziloweke mm nifue akakasirika kwamba namwonea simhurumii

Nimekasirika sana namwona kama mzugaji tu maana kuzurura anazurura kazi hafanyi anajifanya mimba na nikiwa kazini ananisumbua kuja home nikija home anajidekeza mm ananiboa sana wandugu naombeni ushauri kabla sijatafuta mchepuko maana nimechoka haya maisha

Nisaidieni kwa kweli

Afu jambo jingine tena nina marafiki zangu wa kiume ambao kdg wao ma mm age n tofauti kdg sasa anasemaga aah wewe n mdogo kwa flani na flani n mdogo sana, namwambia n kweli maana wao n mabrother ila n rika moja, sasa kumbe kule kuniona mdogo ndio inampa nafasi ya kunidharau na kuniongelesha hovyo kunipa kazi kama yeye ndio mume nk aisee nisaidieni kwakweli nisije kunwacha huyu mwanamke
 
Pole kwani hukumsoma tabia kipindi cha boyfriend&gf
Mvumilie azae yatapita hayo maana mjamzito huwa na vijitabia vya ajabu sana ( wasomi wanasema sijui hormone zinazidi)
 
Wewe kijanaa mimba zinakuja na kila aina ya ujinga na upuuuz.. Binafsi she wanGu alipata ujauzito akawa anannichukia ,hatak hata kuniona ila cku mbili tatu ananiita nimpige mambo yangu...
Mimba zina matatizo sana kama haupo makini unaweza ukaachana na mkeo..
Sikiliza
Mama kijacho- tundaman..
 
Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home mapema angalau awe amelala nikija na mm ni kulala tu.

Sasa hapa home nina mfanyakazi wa kike ndiye anayeniandalia chakula, maji ya kuoga ndiye anayepika nk nikimwomba mke wangu anasema simhurumii kwamba nampa kazi wakati yeye n mjamzito

Basi nimekaa nikaona nisimpe kazi hata moja nikawa nafua nguo zote napiga usafi home fresh namsaidia mfanyakazi kupika namwandalia chakula nk sasa tukiwa kwa bed anataka tusex namwambia wewe si mjamzito utawezaje kusex wkt hauko vzr? Anasema nina mwanamke mwingine nje ndio maana sitaki kusex naye....

Aisee najaa sana upepo basi tu, Sasa juzi alienda hospital wkt mm niko job nikamuuliza wamekuambiaje akasema ameambiwa apumzike asifanye kazi nikamwambia pumzika tu, matokeo yake n kwamba jana kafua nguo wkt mm niko job nilivyorudi nikamuuliza wewe si umeambiwa upumzike iweje umefua? Akanuna,

Sasa kuna nguo zilikuwa zimebakia na nyingine ni zile nilizokuwa nimevaa nikamwomba aziloweke mm nifue akakasirika kwamba namwonea simhurumii

Nimekasirika sana namwona kama mzugaji tu maana kuzurura anazurura kazi hafanyi anajifanya mimba na nikiwa kazini ananisumbua kuja home nikija home anajidekeza mm ananiboa sana wandugu naombeni ushauri kabla sijatafuta mchepuko maana nimechoka haya maisha

Nisaidieni kwa kweli

Afu jambo jingine tena nina marafiki zangu wa kiume ambao kdg wao ma mm age n tofauti kdg sasa anasemaga aah wewe n mdogo kwa flani na flani n mdogo sana, namwambia n kweli maana wao n mabrother ila n rika moja, sasa kumbe kule kuniona mdogo ndio inampa nafasi ya kunidharau na kuniongelesha hovyo kunipa kazi kama yeye ndio mume nk aisee nisaidieni kwakweli nisije kunwacha huyu mwanamke
mvumilie tu bado nwezi 1 yataisha hayo. Ndio changamoto za mimba hizo mkuu zinatofautiana. akiendeleza miezi kadhaa baada ya ujauzito utajua anafanya makusudi.
 
Kwani kabla ya mimba alikuwa vipi? Mimba zingine zinakuja na vituko vya kila aina, ndio maana wengine wakiwa na mimba wanapenda sana kula mavi ya Kuku, mkaa, mavi ya watoto, maudongo na vitu vingine vichafu. Tulia azae na kuhusu kuombwa kugegendwa kamwe usijaribu kumbania, Mwanamke mwenye mimba ana hamu sana ya kugegendwa kila wakati pia usaidia kutengeneza njia ya uzazi.
 
Hiyo itakuwa ni mimba ya mtoto wa kike.

Vumilia.
 
Kwani kabla ya mimba alikuwa vipi? Mimba zingine zinakuja na vituko vya kila aina, ndio maana wengine wakiwa na mimba wanapenda sana kula mavi ya Kuku, mkaa, mavi ya watoto, maudongo na vitu vingine vichafu. Tulia azae na kuhusu kuombwa kugegendwa kamwe usijaribu kumbania, Mwanamke mwenye mimba ana hamu sana ya kugegendwa kila wakati pia usaidia kutengeneza njia ya uzazi.
udongo nimesikia lakini hivyo vingine ndiyo ninasikia leo.
 
Hahahahaaa mke wangu wakati wa ujauzito alikuwa anakaa karibu na gunia la mkaa, kutwa nzima anakula mkaa kama mbuzi, kitanda analala na mikaa, akishituka tu cha kwanza mkaa. Nimewahi kushudia mwingine anapenda mavi ya Kuku sana, yale makavu anasema ndio matamu kama keki.
 
Dunia inamambo. Ninajua gengeni kuna udongo wa Pemba, Arusha, Kigoma unauliza tu unataka upi.
 
Basi wengine hawapendi udongo huo, bora akashinde kwenye kichuguu akashindane na mchwa. Kuna mwingine niliwahi kumuona kwenye gari, toka Posta amenunua mifuko ya pipi za ivory anatafuna mpaka kufika Mbagala mfuko wa kwanza umeisha, anatoa mfuko wa pili, Nilishangaa sana. Na wengine maembe mabichi.
 
Inawezekana ukawa ni mtihani wako wa kwanza kwenye ndoa.....kwa wazoefu wa kuishi na wanawake hizi ni hali za kawaida sana.......
Unachotakiwa kukifanya wewe ni kumpuuza....huku ukimtimizia mahitaji yake muhimu kama mama mjamzito......

Tumia muda mwingi utakapokuwa una nafasi kumliwaza......na kumtia moyo.....

Usioneshe kukasirika hata kwenye nyakati za maudhi....

Habari njema ni kwamba hali hiyo ni ya muda mfupi....na baada ya hapo kinakuja kipindi cha raha ya kuitwa baba......

MVUMILIVU HULA MBIVU....
 
Kuna mwingine niliwahi kumuona kwenye gari, toka Posta amenunua mifuko ya pipi za ivory anatafuna mpaka kufika Mbagala mfuko wa kwanza umeisha, anatoa mfuko wa pili, Nilishangaa sana.[/QUOTE]
Duuh uongo mwingine balaa aisee toka posta mpaka mbagala haah haal
 
hiyo ni kawaida sana mbona,we jifanye zuzu tu yatapita hayo.
 
mvumilie tu bado nwezi 1 yataisha hayo. Ndio changamoto za mimba hizo mkuu zinatofautiana. akiendeleza miezi kadhaa baada ya ujauzito utajua anafanya makusudi.
Dah miezi nane kaka haya si makusudi kabisa kweli mbona kama anajidekeza tu
 
Kwani kabla ya mimba alikuwa vipi? Mimba zingine zinakuja na vituko vya kila aina, ndio maana wengine wakiwa na mimba wanapenda sana kula mavi ya Kuku, mkaa, mavi ya watoto, maudongo na vitu vingine vichafu. Tulia azae na kuhusu kuombwa kugegendwa kamwe usijaribu kumbania, Mwanamke mwenye mimba ana hamu sana ya kugegendwa kila wakati pia usaidia kutengeneza njia ya uzazi.
Dah thanks
But kinachoniboa ni kudeka bwana mpaka anaboa sasa hapo inakuwaje
 
Inawezekana ukawa ni mtihani wako wa kwanza kwenye ndoa.....kwa wazoefu wa kuishi na wanawake hizi ni hali za kawaida sana.......
Unachotakiwa kukifanya wewe ni kumpuuza....huku ukimtimizia mahitaji yake muhimu kama mama mjamzito......

Tumia muda mwingi utakapokuwa una nafasi kumliwaza......na kumtia moyo.....

Usioneshe kukasirika hata kwenye nyakati za maudhi....

Habari njema ni kwamba hali hiyo ni ya muda mfupi....na baada ya hapo kinakuja kipindi cha raha ya kuitwa baba......

MVUMILIVU HULA MBIVU....
Dah unaniondolea hasira sana mkuu nashukuru aisee dah ehuuuuuuu
 
Kaka mbona unatumia nguvu nyingi namna hiyo, usimpime tabia mke akiwa mjamzito, kwa umri wa mimba alionao, mwache a-relax. Jifanye hujui lolote kuhusu tabia zake zinazokukera, maana huu sio wakati mwafaka wa kugombana naye
 
Kaka yaani nataka kuanzia sasa hv nikae naye kama boya tu nione akipanda kichwani poa akiniita mjinga sawa
 
Back
Top Bottom