Naombeni msaada wa haraka jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Naombeni msaada wa haraka jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Hakuna maajabu yoyote unaweza saidiwa hapa jukwaani zaidi ya kujaribu njia alozokupa Chief Mkwawa

Ongea vizuri na polisi mkuu...... Rushwa bado ipo na inasidia sana kwenye issue kama hizi
 
Kama hukuweka pattern ama security yoyote omba mungu anaitumia bila kuflash ama kui format nenda playstore search device manager itakuja app inaitwa find device idownload kisha login na email ya simu iliobiwa na ujaribu kuitrack.

Alternative nenda polisi na imei.
Mkuu Chief-Mkwawa kumekua na post nyingi sana za watu kuja kuomba msaada baada ya simu zao au laptop kuibiwa

Binafsi sio mtaalamu wa maswala haya ila naamini iwapo zitachukuliwa hatua stahiki mapema kabla simu haija potea, kwa kufanya settings kadhaa na kuinstall app fulani na kuhifadhi serial no kadhaa basi nafasi ya kuifuatilia na kuipata simu iliopotea inakua kubwa

With all due repect nikuombe uandike bandiko maalum kuhusu ni namna gani unaweza kuiandaa simu yako kabla haijapotea ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kuitrack pindi ikitoweka

Then tutawaomba Mod waiweke hapo juu hiyo thread iwe stick ili kuwasaidia wengi

Nawasilisha mkuu
 
wezi wameelimika sana siku hizi..wakiiba wanauza kifaa kimoja kimoja kama spare..mashine yenyewe wanaitupa huko..

wanunuaji wa sim za mkonon wameadimika..kila mtu anaogopa kukutwa na ngozi..

ukienda polisi kabla hujalipia laki moja ya tracking ukikutana na polisi mwenye roho nzuri atakwambia hiyo pesa yako kaongeze ununue device nyingine kwa sababu wanawajua vizuri wezi wa simu wa kipindi hiki tulinacho.

Ukiibiwa kitu kama simu, shukuru Mungu bado uhai unao..Tafute nyingine

NB:based on the true story
 
Mkuu Chief-Mkwawa kumekua na post nyingi sana za watu kuja kuomba msaada baada ya simu zao au laptop kuibiwa

Binafsi sio mtaalamu wa maswala haya ila naamini iwapo zitachukuliwa hatua stahiki mapema kabla simu haija potea, kwa kufanya settings kadhaa na kuinstall app fulani na kuhifadhi serial no kadhaa basi nafasi ya kuifuatilia na kuipata simu iliopotea inakua kubwa

With all due repect nikuombe uandike bandiko maalum kuhusu ni namna gani unaweza kuiandaa simu yako kabla haijapotea ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kuitrack pindi ikitoweka

Then tutawaomba Mod waiweke hapo juu hiyo thread iwe stick ili kuwasaidia wengi

Nawasilisha mkuu
Tatizo la Hivi vitu mkuu vinahusisha zaidi watengenezaji wa vifaa kuliko Vitu tunavyoweza kufanya sisi.

Kwa Android zipo njia Lakini zinahitaji root, na ukishakuwa na Root tayari hata warranty umeipoteza, huwezi ukamwambia kila mtu aroot simu yake itakuwa haipendezi na inaweza kusababisha matatizo zaidi kwa ambao hawana uelewa wa simu.

Kwenye PC Intel processor zake zote Zina namba unique, alikuwa na huduma ya ant theft, Ila nae amei discontinue, Ila bado Kuna makampuni mengine yanatoa hizi huduma lakini Bei zake Ni ndefu, unakuta Bei ya Ant theft baada ya miaka kadhaa inazidi hata Bei ya laptop yenyewe, na Hapa pia watu waliolengwa sio kina sisi Bali Ni wale wenye data muhimu ambao kuspend laki kadhaa sio issue as long as data zao zipo safe.
 
Back
Top Bottom