NAOMBENI MSAADA WA BIBLIA (HARD COPY), SINA PESA

NAOMBENI MSAADA WA BIBLIA (HARD COPY), SINA PESA

nipe namba zako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliwatafuta mkuu ila wakasema biblia kwa sasa hawana ila watakuwa wananifundisha tu, na mimi shida yangu ni biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikipata Muda napitia biblia Hard copy iliyonunuliwa na mzazi kwa Tsh 50 Enzi za Mwalimu.

Japo Albert Einstein alisema Bibilia ni Masimulizi ya Wayahudi na zaiidi zimejaa hadithi za kitoto basi huwa napitia pitia hadithi zao hao wayahudi.

Nikiwa Olevel Wazungu wakifika shuleni kueneza injili wakitoa biblia basi nilikuwa haraka nachukua..

Toa Pesa upate neno la Mungu,kuna maeneo biblia Tanzania inauzwa mpaka Tsh 30 Elfu niliuliza.

You are better than Your Religion,You are better than Your God/Allah.

Amani iwe Juu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tuwasiliane me nakaa kibamba kesho nikitoka kazini tukutane mbezi kituoni nikupatie hiyo bibilia tafadhali.
 
Back
Top Bottom