Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,904
- 9,832
Asante mkuuKama hujapata biblia Ndugu nijulishe 0762612213
Unaetaka kuingia kwenye nuru sio Wa kupingwa kabisa
Karibu sana kama hujaokoka uokoke pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nashukuruNaomba tuwasiliane me nakaa kibamba kesho nikitoka kazini tukutane mbezi kituoni nikupatie hiyo bibilia tafadhali.
Nenda kwenye Jumba la Mashahidi wa Yehova, utapata bure.Habarini za usiku huu, naombeni mwenye biblia anisaidie ninapitia wakati mgumu sana kwa moyo wangu wote nimeamua kumrudia muumba wangu kuanzia sasa mpaka kifo changu
Nikishawai kureta andiko la kuomba biblia humu ndani ila sikupata msaada wowote zaidi ya aadi nyingi zisizo na matokeo
Narudi tena mbele zenu, naomba mwenye biblia kubwa au size ya kati anaisidie (maana ntaweza kuzisoma kwa ulaisi kungana na maandishi yake yataendana na macho yangu)
Naombeni sana
Napatikana Dar es salaam, mbezi ya kimara
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi mwenye soft copy ya biblia ya katoliki/kikatoliki yenye vitabu kama Sira nk anisaidie.
Shukrani na wewe mkuu Mungu awe pamoja naweeHabarini za usiku,
Asanteni wakuu, nimeshapatiwa bible kutoka kwa mdau wa humu JF, mungu ambariki sana mdau uyo, na awabariki wote waliokuwa na moyo wa kunisaidia ila kutokana na changamoto za hapa na pale wakashindwa
Niwatakie usiku mwema nyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka biblia nataka nijifunze neno la mungu kidogo kidogo, sina biblia sina uwezo wa kununua biblia, napitia wakati mgumu sana kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app