Naombeni msaada nimetapeliwa

Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
Ungeleta 'hadithi' nzima hapa ili iwe fundisho hata kwa wengine kuchukua tahadhari.

Tukio kubwa namna hiyo unaishia kuleta picha tu bila hata kueleza tukio zima lilivyokwenda, pia kueleza ni location gani huko?
 
Hajaeleza kisa kizima, utamsaidiaje sasa
 
Muulize, Muelekeze ajieleze, afafanue huo utapeli ulitokej
Hajaeleza kisa kizima, utamsaidiaje sasa
Kama Kisa hajakifafanua, huwezi kumsaidia kaa kimya,..
 
Mimi kila sikua nakutana na watu wanaouza madini...
Ngoja nijichunge sana
 
Fanya mpango kazuie zile pesa ulizoweka kwenye acc.

Pia kuwapata au jaribio la kuwapata tumia mbinu uliyotumia kuanza nao mapatano kwa connection zote.

Pole though uzi haujaji dadavua!!
Mkuu haujakumbana na acct zenye kiu. Within a minute pesa haipo, siyo kwa kuhamishwa, kwa kuchukuliwa kabisa.

Hao jamaa huwa wamejipanga kisawasawa.
 
Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli😂😂

Yaani mimi sura za matapeli nazijua tokea sekunde ya kwanza.

Sijui jamaa alijichanganya nn.
 
Mkuu ulijisahau sana hata kwa Muonekano tu huyo alievaa miwani ni misheni town ulifeli wapi Mkuu?.. Any way pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…