Naombeni msaada: Nimesoma HGL, Je nisomee nini chenye manufaa?

Asante kaka,naona kapangiwa UD
Mkuu inahitaji Sana utulivu na kujituma na creativity kubwa sana ila ni nzuri sana tena sana maana kuna project nyingi zinazodemand arts and designing kwa kipindi hiki...... Mungu amjalie mdogo wetu afanye vizuri akutume and atoe everything kwenye career yake atafanikiwa tu.....
 
Acha nimtie moyo,si unajua mabinti tena bila kuwatia moyo huwa wanakata tamaa,il a anakioaji kikubwa sana cha kuchora,

Back
Top Bottom