Naombeni msaada: Nimesoma HGL, Je nisomee nini chenye manufaa?

Hata kama nmekukera hayo hayakuw majib ya kumpa mtu kiutu jaman so vzur ni bora ungeacha tu kujib kulko ivo ni kwel huenda nmekukera lakin nmeuliza ili nipate msaada so isingekuw sabab ya kufanya ivo coz hii ni lyf en its a cirlce hujui kesho yako.am sorry kama nmekukosea ila ndo ukwel huo inaumiza mim ni mwanafunz kama navowez akaw mtot wako akaja kwako umsaidie kiushauri.
Huu mwandiko unatia shaka.
 
Hakuna Kozi hisiyo na ajira.. kama ingekuwa hivyo hisingekuwepo Vyuoni.
Swala la kozi na ajira ni tofauti.. Unawez kuwa Daktari na ukakosa Kazi vilevile.. we soma chochote tu mkuu unachokipenda na unachoona una kimudu vzr! Sio uambiwe cjui kozi fulani ina ajira kwa sasa! Je, unajuaje baad ya miaka 3 ijayo itakuwaje?
 
Soma community dvp, public health, business administration,hizo mbili za juu ukipata kwenye miradi ya afya umetoboa na ndo wanazihitaji zaidi au Soma sociology hutojuta
 
Hii nzuri sana tu ipo pale Ardhi University ila hakikisha una div one na O level uwe na C ya mathematics. Tofauti na hapo hupati
Duh mbon sasa kwenye maths o level wanademand D then unasema ivo kuna mantiki gan hapo mkuu naomb ufafanuz
 
Sas hata kama sijui hgl na ufund umeme wap na wap mkuu acha
Heheheheh

Shida yako ni nini hasa?

Naona umeghadhabika kisa umeambiwa uende VETA

Kama unataka kujiajiri nenda zako Veta ukasomee fani fasta uanze kuzichanga kitaa

Maana inaonekana hujui unachotaka .

Huna malengo

Una kwenda kwa nguvu ya upepo tu
 
Ama nene!!
 
Jamaa una akili sana,unajua hali halisi ya maisha kivitendo siyo nadharia
Hakuna Kozi hisiyo na ajira.. kama ingekuwa hivyo hisingekuwepo Vyuoni.
Swala la kozi na ajira ni tofauti.. Unawez kuwa Daktari na ukakosa Kazi vilevile.. we soma chochote tu mkuu unachokipenda na unachoona una kimudu vzr! Sio uambiwe cjui kozi fulani ina ajira kwa sasa! Je, unajuaje baad ya miaka 3 ijayo itakuwaje?
 
Naomba kujuzwa kuhusu arts and designing
Mwanangu kaomba hii,ana kipaji kikubwa sana cha kuchora,
Sijui kwa undani nini hasa vipo huko kwe mchepuo huo
 
Naomba kujuzwa kuhusu arts and designing
Mwanangu kaomba hii,ana kipaji kikubwa sana cha kuchora,
Sijui kwa undani nini hasa vipo huko kwe mchepuo huo
Mkuu inahitaji Sana utulivu na kujituma na creativity kubwa sana ila ni nzuri sana tena sana maana kuna project nyingi zinazodemand arts and designing kwa kipindi hiki...... Mungu amjalie mdogo wetu afanye vizuri akutume and atoe everything kwenye career yake atafanikiwa tu.....
 
Back
Top Bottom