Naombeni msaada: Nimesoma HGL, Je nisomee nini chenye manufaa?

joel elias

Member
Jul 21, 2019
34
14
Naombeni msaada nimesomea HGL Je, ninaweza kusomea nini kwa sasa ambacho kitaniwezesha kujiajiri au kuajiriwa encase kimoja hakijawezekana kingine kitumike kuendelezea maisha.
 
Hata kama nmekukera hayo hayakuw majib ya kumpa mtu kiutu jaman so vzur ni bora ungeacha tu kujib kulko ivo ni kwel huenda nmekukera lakin nmeuliza ili nipate msaada so isingekuw sabab ya kufanya ivo coz hii ni lyf en its a cirlce hujui kesho yako.am sorry kama nmekukosea ila ndo ukwel huo inaumiza mim ni mwanafunz kama navowez akaw mtot wako akaja kwako umsaidie kiushauri.
 
Wakuu kuna koz inaitwa bachelor of science in infrastructure planning and housing ina soko na ni nzur!? naomb msaada kwa yeyoyte
Kwani ndoto zako ni kuwa nani professionally? Ukishasema ndoto zako ni kuwa nani, itakuwa ni rahisi kwetu kukushauri usome kozi gani ili kutimiza ndoto zako.

Ni vema kuwa na malengo mahususi na sio kufuata mkumbo tu!
 
zipo nying sana kama
.bachelor of art with education
.bachelor of art in education
.bachelor of art in public relations and marketing
.human resources
.political science
.health management
.public administration
.sociology
.social work
.mass communication
.jounalism
e.t.c
Law,
 
Kwani ndoto zako ni kuwa nani professionally? Ukishasema ndoto zako ni kuwa nani, itakuwa ni rahisi kwetu kukushauri usome kozi gani ili kutimiza ndoto zako.

Ni vema kuwa na malengo mahususi na sio kufuata mkumbo tu!
Mkuu utakuw umenisoma vibaya lengo lang hapo skutaka ushauri bal niltaka maelezo kwa anayeifahamu hiyo koz inakuw inahusiana na nin ndo ilikuw main point haswa kwa sabab ndo nmetokea kuipenda sana
 
Naombeni msaada nimesomea HGL Je, ninaweza kusomea nini kwa sasa ambacho kitaniwezesha kujiajiri au kuajiriwa encase kimoja hakijawezekana kingine kitumike kuendelezea maisha.
Hapo kuna vingi vya kusoma kama
Land management and valuation
Human resources
Journalism
Law
Education.
Health management system
Tourism
Sociology
Etc
 
Back
Top Bottom