Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.
Tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia.
Siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka.
Ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.
Utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya.